Huku halmashauri mambo hayaeleweki, vyanzo kutoka ndani ya serikali vimesema hakuna hela kwa sasa, hasa za kujikimu.......mi nipo hapa kinondoni, na hakijaeleweka.
Nani anasema uongo? Serikal? Naibu waziri? Halmashaur? Au hvyo vyanzo?
Mbona wengine wamepewa sehem zingine acha uongo mkuu na kusambaza sumu.
ndo 2meshaanza kujiandaa, leo kinondon palikua hapatoshKazi ndio inaanza, mjiandae kwa yajayo!