WALIMU sasa muache WOGA Dr ULIMBOKA DAMU yake ni UKOMBOZI TZ

May 1, 2012
95
96
Walimu nanyi jipangeni wiki ijayo mgomo hakuna njia nyingine ya kudai haki UMOJA ndo UKOMBOZI igeni ya madaktari.Bravo madaktari haki huwezi ipata hivihivi pambaneni.Bungeni wabunge CCM kimya hawalaani wala hawasemi kitu hongera CDM na CUF kwa kulaani.Tamko la waziri mkuu linalengo lakuwatisha madaktari na walimu so msitishike.
 
TUCTA wanaliongeleaje hili la Dr. Ulimboka? Nisaidieni, maana sipati picha ya kitakachotokea baada ya unyama aliofanyiwa mtetezi wa Watanzania. Haki aliyokuwa anaipigania Dr. Ulimboka haikuwa ya madaktari tu, bali ya watanzania wote wanaohitaji huduma bora mahospitalini. SOTE TUMWOMBEE ULIMBOKA, APONE HARAKA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom