Walimu na manesi ndio wanawake wa kuoa?

Wadau nashukuri kwa michango yenu, mliokwazika na swali hasa kina mama poleni.

Kumbuka kuuliza si ujinga anayeuliza anataka kujua.
 
Wadau nashukuri kwa michango yenu, mliokwazika na swali hasa kina mama poleni.

Kumbuka kuuliza si ujinga anayeuliza anataka kujua.

Mie umenikwaza sana maana mimi sio mwalimu wala nesi na ukoo wetu hatuna watu wa hivyo na wengi wameolewa na wamedumu kwenye ndoa zetu.

Ili mradi umeona kuwa umetukwaza nimekusamehe
 
Mjinga hawezi kutambua ujinga!!!Ni sawa na kumuuliza kipofu rangi nyekundu ilivyo!!

Twende zetu kule kwa Papizo bana huyu mpotezee anataka kupandisha watu hasira kwa nguvu sana potezelea kwa mbaliiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom