Mwl idara MSINGI yupo MBEYA-KYELA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka BAGAMOYO,KIBAHA,CHALINZE,KOROGWE au SAME.
No:0758408759 au 0713389890
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623//0784623525
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi rolya MKOANI mara nahitaji kubadirishana nafasi na mtu yeyote yule anayetoka Songea-luwiko, sababu ya kuhama nahitaji kuwa karibu na familia yangu ambayo nilimwachia mume wangu, please kama upo tayari nijuze ndugu zanguni.
 
NJOO KASULU MJIN NIJE KWETU KASKAZINI WILAYA YOYOTE
kilimanjaro
Arusha
Manyara
Tanga
IDARA YA MSINGI 0753045623//0784623525
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623--/0784623525.
 
Jamani nina maanisha toka moyoni kweli natafuta wakubadilishana japo wengine wanapiga cmu nakutokomea
 
PIA KUNA MWL YUPO MEATU SEHEMU ZA KISESA NA ANATAFUTA WAKUBADILISHANA NAYE TOKA SENGEREMA. MSINGI
0764556647 nikuunganishe
 
Njoon tabora wilaya ya uyui nirudi mikoa ya kusini au pwani idara msingi call 0753705024 kama we ni tapel ucjaribu kupiga nahitaji aliye na nia thabiti.
 
Back
Top Bottom