Epukeni huyu Tapeli Jamani waalimu wenzangu anatumia namba hii 0693178826.Anajifanya anaweza kukuconect na watu wa Tamisemi kumbe lengo akupige Hela.Uhamisho wa Uhakika na Salama ni wakubadilishana.
 
Anaetaka kuja Mkuranga kutikea kibaha mji/vijijini ..idara secondary anipm tuanzr mchakato
 
pole mkuu. sasa wewe ndiyo umeolewa au umeowa?. kitanzania mke ndiyo anamfata mme wake sahemu yoyote anapo fanya kazi, pia serikali inalitambuwa ilo sasa kwako ikoje hii issue?
Sio kweli,kuna mwalimu Wa kiume alimfuata mke wake nilishuhudia kabisa inawezekana
 
Wapendwa heri ya krismas! Mi ni mwalimu idara ya sec natafuta Mwal wa kubadilishana nae kituo cha kazi. Aje mkoa wa morogoro wilaya ya malinyi na na mimi niende sehemu yoyote ile katika mkoa wa iringa. No yangu ni 0719221365
 
Back
Top Bottom