Walimu naomba msaada, ni kitabu gani cha silabas ya sasa cha Hisabati kwa mtoto wa form one? hata kama Kuna picha ya kitabu naomba aiweke
silabus ina elekeza tu vitu gani vya kufundishwa kwa level flani ya elimu kwa o level kinaonyesha madarasa yote kama ulitaka kuulizia kitabu cha hesabu mwambie tu akaaazime kitabu shuleni vipo vingi sana vililetwa kwa msaada (change ya rada) me nakushauri mnunulie mwanao vitabu vya sanaa ndo kuna upungufu mkubwa sana wa vitabu hivyo! kwa ushauri zaidi ni pm
 
Ndugu zangu, mi ni mwalimu wa sekondary nafundisha wilaya ya nyang'whale mkoa wa Geita natafuta mtu wa kubadilishana nae nije wilaya yeyote ya Kilimanjaro au Arusha
 
Habari zenu ndugu walimu Mimi ni mwalimu wa secondary wilaya ya geita natafuta mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi aje geita nije Dodoma ,Morogoro,Tanga,Pwani,Dar.
Mawasiliano 0764845065
 
Njoo Mvomero - Moro mimi nije Dodoma Mjini,
Idara ni msingi
PM/Whatssup/sms/call 0783198963
 
Njoo(Kilindi)Tanga nije Bariadi,Busega,Kwimba,Misungwi,Bukombe,Bihalamulo au Chato.Idara Sec,piga 0683067511/0769325378
 
Njoo LUSHOTO TANGA idara ya Msingi nije Mkoa wa KILIMANJARO wilaya zifuatazo,
  1. Moshi Mjini
  2. Moshi Vijijini
  3. Hai
  4. Siha
  5. Rombo
  6. Same
  7. Mwanga
Mawasiliano 0684533627 ( Availabe on Whatsup )
 
Njoo LUSHOTO TANGA idara ya Msingi nije Mkoa wa KILIMANJARO wilaya zifuatazo,
  1. Moshi Mjini
  2. Moshi Vijijini
  3. Hai
  4. Siha
  5. Rombo
  6. Same
  7. Mwanga
Mawasiliano 0684533627 (Also availabe on Whatsup)
 
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi mkoa wa mbeya wilaya ya mbozi, natafuta mtu wakubadilishana nae eliepo wilaya yeyote mkoa wa kilimanjaro

0757865489
 
Back
Top Bottom