Unataka ukawe Mwanaume wa daslam eeeeh!!Me ni mwalimu niko Mkoani Arusha ninaomba kubafikishana na mwalimu anayetokea Dar es salaam wilaya yoyote idara ya secondary tuwasiliane kwa namba
0624021258
sijakuelewaUnataka ukawe Mwanaume wa daslam eeeeh!!
wewe mwenye kitecno cha J5 una kiherehere hujaolewa tu
aisee ni shida kweli asa hiyo post na majibu yenu vinaendana kam hamna vya kujibu nyamazeni kimyawewe mwenye kitecno cha J5 una kiherehere hujaolewa tu
Natafuta mwalimu wa kuoa maana walimu mnakuwa wavumilivu hata kwenye njaaaisee ni shida kweli asa hiyo post na majibu yenu vinaendana kam hamna vya kujibu nyamazeni kimya
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Asa kam umeona namba siupige ndo umwambieNatafuta mwalimu wa kuoa maana walimu mnakuwa wavumilivu hata kwenye njaa
kwa hiyo upo tayari mw.lAsa kam umeona namba siupige ndo umwambie