Walimu Iringa Manispaa wacharuka!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?
 
Nchi ilojaa usanii haiwezi kuwa na vipaumbele hata siku moja :A S 13:
 
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?

Mbona huku Private Sector hawadai fedha za mizigo? Kwani bag linazidi kilo 20? Nina maana wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza wanakuwa na mizigo gani zaidi ya bag la nguo?
 
Angalia waalimu wanapohama kuna wengine wanakua na familia kubwa tu na watoto na wake zao pia dependants kwa hiyo msipige hesabu tu ya mabegi jaribuni kufanya uchunguzi na sheria pia zinasema lazima walipwe pesa zao!
Mbona huku Private Sector hawadai fedha za mizigo? Kwani bag linazidi kilo 20? Nina maana wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza wanakuwa na mizigo gani zaidi ya bag la nguo?
 
Mbona huku Private Sector hawadai fedha za mizigo? Kwani bag linazidi kilo 20? Nina maana wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza wanakuwa na mizigo gani zaidi ya bag la nguo?

hiyo ni kwa mujibu wa taratibu na sheria za kazi. Private wanajidai kubania tu lakini kama mfanyakazi unatakiwa kulipwa pesa za kujikimu ukianza kazi na ukihama lazima ulipwe na pia kuna formula ya malipo. Ni haki ya mfanyakazi kulipwa hiyo pesa.
 
bado tatizo lipo serikali kuu kwani walituma walimu bila kuto apesa za kuwalipa walimu hao na hatima yake wanaanza kukopa kwenye source zingine kama vile fedha za maendeleo na ndio maana miradi huwa haikamiliki kwani serikali hiyohiyo iliyotuma huwa inaleta maagizo bila kujali kuwa hizo fedha WANAPATA WAPI
 
kila kukicha waalimu wanaidai serikali madeni haya hayaishi?system ya wizara ya elimu ina matatizo
 
Matatizo kila kona, Serikali inalalmika haina hela wakati haina sera nzuri za kuongeza kipato.
Uongozi ni dhamana siyo sifa tu ya kuwa Rais au Waziri, wanatakiwa watunge sera nzuri,wazitekeleze,wabane matumizi na wahujumu uchumi /mafisadi wawajibishwe kisheria.Lakini wao ni kukumbatia ufisadi, matumizi mabovu ya pesa, halafu wanataka mambo yajiendeshe tu kilaini,hakuna kitu kama hicho.
Sasa hivi naona kama serikali nzima imechanganyikiwa.
 
bora wagome tu maana hii serikali imekuwa ya kinafki zaidi, utendaji au utekelezaji ni zero
 
mbona huku private sector hawadai fedha za mizigo? Kwani bag linazidi kilo 20? Nina maana wanapoajiriwa kwa mara ya kwanza wanakuwa na mizigo gani zaidi ya bag la nguo?
hoja yako ya kijinga sana! Hawa ndo aina ya viongozi tulionao wanaopenda kuiba mpaka na haki za wenzao! Mnafurahi kunenepesha matumbo yenu mpaka mnashindwa kugusa nyeti zenu!enyi viongozi wa taifa hili kuweni na aibu hata kama maadili yamewashinda!
 
Nasikitika kwa matatizo ya walimu Iringa na kwingineko kama tulivyosikia kwenye vyombo vya habari. Tatizo la serikali yetu hivisasa badala ya kulishughulikia tatizo kwa misingi yake, utasikia wanasema CDM hawa! Migomo vyuo vya elimu ya juu, CDM hawa! nk. nk. nk. CDM hawa! Alafu ndiyo inakuwa mwisho wa kulishughulikia hilo jambo. CDM imekuwa kama kisingizio cha kujivua matatizo yao na mpaka wa kufikiri.
 
raisi yuko bussy na safari kwa ss wasubiri mpk amalize safari zake!!
 
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?

kipaumbele na 1, kushusha bei ya sukari.
 
Ndugu,
Leo walimu ktk manispaa ya iringa wacharuka ktk kudai fedha zao za mizigo na nauli, pia kuna tetesi ya mgomo mkubwa kutokea. Nimeshuhudia vyombo vya habari vikiwa bize kukamata matukie. USHAURI WANGU: SERIKALI ICHUKUE HATUA MAPEMA COZ KWA MWENDO HUU PERFOMANCE MASHULENI ITAENDELEA KUDIDIMIA, LEO 11% Kesho 3%. VIPAUMBELE TZ NI VP?

Hafif upo??? Peopleeeeeeeeeees.... malizia mwenyewe mie simo
 
Back
Top Bottom