Walimu hii habari iwe kichocheo cha mabadiliko

Nchi hii ukiwa mwalimu unadharauliwa hata na mtu asiyejua kusoma.
Yaaani mgambo anaweza kuheshiwa kuliko mwalimu
 
Walimu tunakusikiliza ila kufanya unayotushauri hatuwezi, yanayotupata sio hayo tu yapo mengine mengi has a kutoka kwa wanafunzi na wazazi wao kuhatarisha maisha yetu na kutudhalilisha; mkurugenzi alichofanya so kigeni masikioni na machoni mwetu, Walimu tumefanyiwa mengi sana....... tumerushwa vichura, tumechapwa viboko, wametunyoa ndevu, wametutukana MBELE ya wanafunzi, MBELE ya wananchi na hata tukiwa pekeyetu of is in I na darasani; tunadhulumiwa haki zetu za kimaslahi nk. Lakini hayo yote hayatoshi kutufanya Walimu tuanze kulipa kisasi kwa watoto wa masikini kama sisi kwani tunaamini INAWEZEKANA ATAKAYETUKOMBOA NI MWIONGONI MWA HAO TUNAOWAFUNDISHA japo wakifanikiwa wanatuona kama mizigo na hukataa kututetea, sijakatatamaa kila SIKU nawaza jinsi ya kuwafundisha somo langu la hisabati ili watoto WA masikini wafaulu zaidi japo nao wanatutukana, wanatudharau, wanatupiga( wakilipa kisasi kwa adhabu tuwapazo) nitaendelea kufundisha kwa bidii zaidi sitakubali kurudishwa nyuma na wachache wasiotambua mchango wangu NINAAMINI TAIFA LITABADILIKA KUPITIA MIMI YES YES MIMI. jioni njema vijana mliofundishwa na Walimu.
Pole sana mkuu,utalipwa siku ukifa.
 
Hata sekondari kuna wenye diploma mkuu.
Over my dead body sikubali ujnga huo wa mkurugenzi
Bado hakuna tofauti sana kwa mwalimu wa degree na diploma wanazidiana mwaka mmoja tu wa kukaa darasani,yaani wote wanahitimu form six ndio wanajiunga na vyuo.
 
Bado hakuna tofauti sana kwa mwalimu wa degree na diploma wanazidiana mwaka mmoja tu wa kukaa darasani,yaani wote wanahitimu form six ndio wanajiunga na vyuo.
Uoga wao na kutojitambua hutofautiana kutokana na asili ya mtu mwenyewe na chuo alichosomea. Kama elimu waliopata ni ya kutii kama kondoo, hayo ndo matokeo yake. Waliopata elimu ya kuwafanya wahoji, huthubutu kujipigania.

Mwaka mmoja ni mkubwa sana ktk safari ya elimu na ndo maana shahada sio sawa na stashahada mkuu.
 
Hakika mkuu.
Ila huyu mwalimu ni kkilaza wa kutosha kabisa.
 
Walimu tunakusikiliza ila kufanya unayotushauri hatuwezi, yanayotupata sio hayo tu yapo mengine mengi has a kutoka kwa wanafunzi na wazazi wao kuhatarisha maisha yetu na kutudhalilisha; mkurugenzi alichofanya so kigeni masikioni na machoni mwetu, Walimu tumefanyiwa mengi sana....... tumerushwa vichura, tumechapwa viboko, wametunyoa ndevu, wametutukana MBELE ya wanafunzi, MBELE ya wananchi na hata tukiwa pekeyetu of is in I na darasani; tunadhulumiwa haki zetu za kimaslahi nk. Lakini hayo yote hayatoshi kutufanya Walimu tuanze kulipa kisasi kwa watoto wa masikini kama sisi kwani tunaamini INAWEZEKANA ATAKAYETUKOMBOA NI MWIONGONI MWA HAO TUNAOWAFUNDISHA japo wakifanikiwa wanatuona kama mizigo na hukataa kututetea, sijakatatamaa kila SIKU nawaza jinsi ya kuwafundisha somo langu la hisabati ili watoto WA masikini wafaulu zaidi japo nao wanatutukana, wanatudharau, wanatupiga( wakilipa kisasi kwa adhabu tuwapazo) nitaendelea kufundisha kwa bidii zaidi sitakubali kurudishwa nyuma na wachache wasiotambua mchango wangu NINAAMINI TAIFA LITABADILIKA KUPITIA MIMI YES YES MIMI. jioni njema vijana mliofundishwa na Walimu.

Nimekuelewa na nimekubaliana nawewe I'll Hakika una moyo wa upendo. Hivyo kazana na kazi Mungu atakulipa kama si hapa duniani hata mbinguni.
Binafsi sina moyo wa mshumaa.
 
Kwa hiy
Njoo Dar ujitambulishe kuwa wewe ni mwalimu ndio utajua kuwa mwalimu ni kama mchawi,ila kama unafundisha shule ya msingi Kishiramabimbi mkoani Dodoma utaheshimika sana.
mwalimu haeshimiki kwa mahali alipo bali kwa anavyojiweka na jinsi anavyopangilia mambo yake.Uelewa wa mambo mengine nje ya ualimu pia ni kigezo kizuri cha kutambulika na kuheshimika popote pale.Hakuna siku serikali itafanya yote unayoyataka.Changamka mkuu.
 
Nilichangamka siku nyingi tangu nilipoajiriwa sasa sekondari yao niliwaachia.

Mwalimu acha kujipa moyo labda kama ni KE ila ME ukija mjini kuwa mwalimu ni sawa na Mchawi tu.
 
Halafu hapa mimi ndo wananishangazaga Walimu! Albert Mnali miaka kadhaa iliyopita alitandika Walimu viboko nao kama mazuzu wakakubali! Hapa tena tunaambiwa Mwalimu apigishwa deki kwa lazima (I don't care, iwe mbele ya wanafunzi or vinginevyo)... hapa tena mtu anatii amri!

Wewe mtu mzima inakuaje unakubali mambo ya kijinga? Hivi ina maana elimu mliyonayo bado haijawasaidia kuzijua haki na wajibu wenu?!

Binafsi ziwezi kumuhurumia Mwalimu au mfanyakazi yeyote anayekutana na udhalilishaji kama huo kwa sababu ni weak, hajiamini na wala hajitambui! Huyo JPM mwenyewe sijui ataanzia wapi kunilazimisha kupiga deki; seuze sijui mkuu wa nini? Tunatetea wanafunzi kwa sababu wanafunzi ni watoto na ni vulnerable lakini sio mtu mzima anayejua haki zake na ana uwezo wa kuzipigania!

Mleta mada ushauri wako ni wa kijinga! Ushauri unaotakiwa kutoa ni kuwahamasisha Waalimu wenzako waache kuwa wanyonge! Mtu aliefikia kuwa Mwalimu ana umri wa angalau miaka 20... huyu ni mtu mzima anayetakiwa kufahamu namna ya kupambana na kuilinda heshima yake mbele ya jamii! Ni ubwege kupelekeshwa na mtu wakati unafahamu kabisa kwamba haki ipo upande wako! Na ikiwa hamjui haki zenu basi waambieni CWT wawape shule ya kufahamu haki zenu. Lakini mambo mengine sidhani kama mtu unahitaji kufundishwa zaidi ya tu ya uzoba wa wahusika wenyewe! Sidhani kama mtu anatakiwa kukaa darasani kuambiwa si DC, RC wala Rais wa nchi mwenye haki ya kukutandika bakora!

NARUDIA, mleta mada ushauri wako ni wa kijinga kwavile hauwezi kurejesha heshima ya mwalimu... sana sana unaonesha ni namna gani mlivyo weak na msioweza kupambana na matokeo yake mnataka kupeleka hasira kwa vulnerable kids cuz' you know they can't fight back!
Kwani CWT wameanza kuguswa na taabu za walimu?
 
Nilichangamka siku nyingi tangu nilipoajiriwa sasa sekondari yao niliwaachia.

Mwalimu acha kujipa moyo labda kama ni KE ila ME ukija mjini kuwa mwalimu ni sawa na Mchawi tu.
Tatizo unang'ang'aniza nifanane na fikra zako.Hilo halitawezekana ndugu.Nimejigundua mapema sana na niko vizuri.Kasoro ni kwamba tu hatufahamiani humu kwa hiyo hakuna haja ya kukuthibitishia kuwa nikoje.
 
ningekuwa mimi ni bora nifukuzwe kazi kuliko kudhalilishwa kiasi hicho
 
Haina maana usiposoma ndo unakuwa mwalimu af pia hata wakifelisha watawafelisha watoto wa maskini ndo wanaowathamini walimu hao wanaowadharau walimu watoto wao hawasomi hizi shule zetu anazozalilishwa mwalimu nadhani umefika wakati serikali kufanya maamuzi juu ya mwalimu haiwezekani kila jambo baya limtokee mwalimu tu inabidi wachukuliwe hatua wanaowadhalilisha walimu,otherwise tutaachana na hiyo taaluma
Ujumbe mzuri, ila kumbuka kuweka nukta na alama ya koma pia
 
Tatizo unang'ang'aniza nifanane na fikra zako.Hilo halitawezekana ndugu.Nimejigundua mapema sana na niko vizuri.Kasoro ni kwamba tu hatufahamiani humu kwa hiyo hakuna haja ya kukuthibitishia kuwa nikoje.
Basi sawa.
 
Back
Top Bottom