Walimu Dodoma Wagoma

huyu mama anamatitizo makubwa sana, kuna kipindi alifikia hadi familia yake kutaka kumtenga kwa ajili ya majibu yake ya kifedhuri, ila hatuna la kufanya kwa watu kama hawa kwa kuwa mkuu wa kaya ndio anaowapenda
 
Ndo madhara ya kutekeleza ilani ya chama twawala eti baraza la mawaziri liwe 50% kwa jinsia bila kuangalia vigezo muhimu na kuvipa vipaembele.
Mambo kama haya tukiendelea kuyatolea tabasamu yatatumaliza.Sina neno na viongozi wanawake ila wapewe wale wenye uwezo na ujuzi.Mambo ya kula bata ni baada ya jahazi kufika ufukweni.
 
Back
Top Bottom