Walimu ajira mpya 2015

pascal m.

Member
Aug 20, 2015
5
0
Kwa walimu waliopata ajira mpya wilaya ya hai kilimanjaro 2015 + hata wale waliopo toka muda , naomba tuwasiliane mana nami nimepangwa huko ila nimekumbwa na matatizo hivyo nazan naweza pata msaada toka kwenu.

Nilienda kurpot ila had leo napgwa kalenda 2 ya kwenda ktuon wanadai nisubrie pesa kama zkja toka hazna wakat post n yang na jna lpo pale.


 
nilienda kurpot ila had leo napgwa kalenda 2 ya kwenda ktuon wanadai nisubrie pesa kama zkja toka hazna wakat post n yang na jna lpo pale. 2mia 0768711943 il 2wasliane mkuu
Wewe ni mwalimu, mwandiko wa hivi waachie wanafunzi
pia matatizo yako uyaadress kwa mtu/watu sahihi kamuone afisa utumishi au mkurugenzi sio kila mtu anauwezo wa kutatua shida zako
pole
 
Back
Top Bottom