Walichoambulia Bwawa la Maini (Liverpool)

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
31311_107289022648067_100001009103692_53623_1711408_n - Copy.jpg .
Kila mchuma janga hula na wa kwao.....
 
Ni katika fainali ya FA jana dhidi ya The Blues (Chelsea) ambapo walichakazwa 2-1
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaa

it tells a lot about what is in your brains

umekaa kichupi-chupi tu
tehe tehe tehe...wewe Liver nini Mkuu...........kichupi hata wwewe hapo UMEKALIA CHUPI....acha kujisahau..
 
Mpe pole basi...
TIMING na wana Liver wenzangu poleni sana kwa kukosa kombe lenye hadhi kubwa sana Uingereza..............The Blues wote Hongereni.....Football is just a fair deal....
 
TIMING na wana Liver wenzangu poleni sana kwa kukosa kombe lenye hadhi kubwa sana Uingereza..............The Blues wote Hongereni.....Football is just a fair deal....
tatizo ni kuwa walidhani kuwa wao ndio walikuwa na haki ya kushinda
 
tatizo ni kuwa walidhani kuwa wao ndio walikuwa na haki ya kushinda
Haya Mpita Njia,nimeshakupa hongera ...pita na hamsini zako sasa naona umeganda tu.............Hongera tena, kesho wana Liver wanaamdamana kudai sensor ya goli linapokua GOLI......kulikua na ashiria ya mbeleko goli la Carolina.....
 
Kwa tafsiri hyo ya bwawa la maini bas hata honeymoon=asali ya mwezi!
 
Na iwe hivyo................si kama nitakavyo mimi bali maoenzi yako yatimizwe.....
 
Back
Top Bottom