Walichakachua Mafuta, Wakapata Faida, Sisi Twapata Adhabu ya Uchakachuaji

Juma. W

Senior Member
Mar 28, 2011
131
21
Kwa kweli hali ya maisha imekuwa ngumu sana. Mafuta ya taa shs 2040, petrol shs 2100, dizel shs 2100. Sijaelewa lengo lilikuwa kuwaongezea kipato hawa matajiri au kipi? Mafuta ya taa yalipanda mara tu bajeti iliposomwa, petrol dizel hazishuki. Sisi tunaumia sana, inachosha sana ndugu zangu.
 
Huku kwetu,mafuta ya taa ni Tsh 2400 kwa lita,petroli na diseli ni 2500,...Haya ndo maisha bora kwa kila mtanzania kwa ari zaidi nguvu zaidi na kasi zaidi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom