Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,149
- 10,853
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa.
.Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko.
.Mafisadi wote huanza kuwa ni walevi kwanza wa namna moja au nyengine.
.Walevi mbali na kuwa hawawajibiki vile vile huwa hawana muda wa kufikiri, na wanapotoa maamuzi huwa hayana busara.Hawa ndio wanaoiuza nchi na kurudsiha nyuma maendeleo.
Jee! yupo anayebisha ili tutoe ushahidi?