Wale wote waliosoma Lugalo sekondari Iringa mpo?

dada jane

JF-Expert Member
Dec 8, 2011
565
117
Jamani wanalugalo sec mpo? Nakumbuka enzi hizo za akina Jagafus, akina Chips nk. Ebu tukumbukane jamani japo wengi ni RIP kama Ester Makingi. Hebu kama mpo hebu jitokezeni basi.
 
Ingekuwa vizuri kama ungeweka range ya miaka husika. Historia na matukio yanatofautiana miaka hadi miaka.
 
Kabila1 uko wapi na unafanya nini kwa sasa. Naomba tufahamiane please. Na kwa wengine waliosoma lugalo. Kuna mwl mmoja alikuwa anaitwa mangula aka cocroach unamkumbuka?
 
Jamani wanalugalo sec mpo? Nakumbuka enzi hizo za akina Jagafus, akina Chips nk. Ebu tukumbukane jamani japo wengi ni RIP kama Ester Makingi. Hebu kama mpo hebu jitokezeni basi.
Mimi nimemaliza 1986.Na hiyo jagafus nawakumbukeni sana,yaani Jane,Grace na Flora.Enzi zenu mlikuwa kiboko ya Mangula a.k.a cocroach.
 
Ha ha ha ha ha. Uko wapi ndugu yangu. Cocroach sasa hivi yuko Kyela ni katibu wa cwt.
 
Mwalimu Materu,Lulandala,Chaula,moshiro,Ugulumu,kisonga,Mtavangu,Hongoli,Ambindwile.Msasimela,Mwasamila,Mama Lambo,MamaMwaisaka,Mwakasonda e.t.c! Wanafunzi kama Asangalwisie Henry,Frank Leonad(tyson),Iman Kasuga,Nasoro Mkwanda,Wito D'zombe,Nyambilila Amour,Juliana Mdemu,Lilian Mkulu,Merkioly Katunzi,Putila Lupogo,Aman Sindato,Edgar Kifyoga,Henry Challu,Exaud Massawe na wengine weeeengi! Jamani tutafutane popote mlipo! Hiyo ni Lugalo 1988-1991!
 
1983-1986 nawakumbuka wafuatao, Erasto Chipps, Faustine Kigava, Nulala Luvanga, Kalinga wa Tcra, Sixtus Kanyama,Yohana Kifaranja, Mary Mdegela huyu ndie Mrs Cocroah Mangula, Suzy Magani na wengineo naomba mameti ongezeni orodha tafadhali na ikiwezekana tuunde Saccos yetu
 
Mmenikumbusha mbali sana nilimaliza hapo 1987 na Aden Nzali,Amani Mgonja,David Luvinga,Hadhrat Hussein,Harold Kakuyu(RIP my best friend),Brian Samuel,Graceana Mgeni,Ulanga Jumanne,Sophia Karuma,Emmanuela Lusinde,Audrey Seme(RIP my sister),Brutus Hyera(RIP my best Bruto),Ramadhani Ali Ngollo,Michael Saka,Uddy Chusi,Obeid Mgina,Abdallah Said,Yusuph Kalinga,Nawakumbuka walimu kama Ambindwile,Mangula,Materu,Mihayo,Loningo,Nade,Mtinda,Mr Joker nk

Hi everyone wherever you are my brethren and my sisthren.
 
Obeid Mgina yupo Mbezi mwisho Dar es salaam. Emmanuella Lusinde yupo Mtwara.Pamoja sana wakuu.Cc; Gaudence Mbigi upoo!!
Da nimekumbuka mbali sana ndugu yangu. Mungu ametunusuru. Basi tulio hai na tutende mema kwa jamii inayotuzunguka. Tusiwe part of ufisadi. Binafsi bado nina mawasiliano na herieth,grace tendega, monika, vangamela et el
 
Big up dada Jane kama unakemea ufisadi! You must be like GRACE TENDEGA!(REAL COMMANDER). GOD BLESS YOU!
 
Really nakemea toka rohoni. Japo kwa Tanzania ya leo hatakiwi. Ukiwa against ufisadi basi ujue wewe hata kaa upande daraja, cheo wakipenda hata mshahara na wasingizia masa Epicor mara mfumo. Mungu atusaidie hii nchi upepo huu upite vinginevyo vizazi vijavyo watachinjana kama Somalia na other like.
 
Back
Top Bottom