wale wenye tabia hizi waache mara moja

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,054
6,281
418760_345092985579868_596861254_n.jpg

jamaa anampa mtoto safari anywe,wenye hizi tabia waache,ni kuaribu kichwa cha mtoto
 
..yani mwananangu nakapaga..though najua kwamba si nzuri katika malezi ukuaji na afya..lakini daah!! mbona mi nilipewaga hiyo hiyo mtikila..tena by then my mom alikua anatumia pilsner ice..mbaka leo bado jembe!! Lol
 
Ukijiangalia unajiona uko sawa wewe?
 
Kubwa jinga kweli....
Mie huwa nawashangaa hata wazazi wanaoenda na watoto wao kwenye ma-bar....!!
mkuu Kimbweka nafikiri inategemea na aina ya bar zipo nyingine zina michezo ya watoto mizuri sana tena kuliko hata kwenda nao hotelini na bei ni nafuu je napo hapo usiende nao?
 
Last edited by a moderator:
mkuu Kimbweka nafikiri inategemea na aina ya bar zipo nyingine zina michezo ya watoto mizuri sana tena kuliko hata kwenda nao hotelini na bei ni nafuu je napo hapo usiende nao?

Hizo za kistaarabu hazina noma....!!
Kuna hizi za mitaani bhana vurugu , matusi, mimoshi ya sigara taabu tupu!
Halafu unamkuta jamaa anaenda na ma-kid wake eti kawatoa out.........!!
 
Hizo za kistaarabu hazina noma....!!
Kuna hizi za mitaani bhana vurugu , matusi, mimoshi ya sigara taabu tupu!
Halafu unamkuta jamaa anaenda na ma-kid wake eti kawatoa out.........!!

sasa huo unaitwa ushamba uchangamfu.
 
tabia sio nzuri kuna jamaa anakwenda bar na mwanae anamnywesha nusu glass ya kili hadi mtoto amezoea wageni wakifika kwake wakipata bia mtoto analilia anataka nae apewe
 
dah..ndio maana ulinipa mbofumbofu kwenye thread yako kule..hahahahaha!!!halafu nikakupongeza mwenyewe ukajiona mkali.......duh pole kwa ban na karibu tena..hahahahahaha!!!!!!!!!!!!!
naona juhudi zako za kuntafutia ban ha ha af leo siko tayari mana nimetoka kifungoni kwa miezi 6 staki tena!!
 
hii hatari sana hata wale wanaokwenda na watoto kwenye sehemu zenye miziki yenye sauti kubwa pia ni hatari kwa saikolojia ya watoto wadogo.....
 
Samahani lakini huyo jamaa kwa sura yake anaonekana ni Mchaga au mpare ambaye pombe kwao sio ishu kabisa.
 
Back
Top Bottom