Wale wapo boarding!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Docta wa vichaa alikutana mtaani na kichaa mmoja aliyetoroka kambini. Akamuuliza;kwanini upo nje ya kambi?,yule kichaa akamjibu:"Wale wenzangu wapo boarding na mimi nipo day"!
 
hhahahahaha...............kwahiyo anaenda kambini na kurudi.
 
Back
Top Bottom