Wale wanaotaka kujifunza hisabati

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Kuna mwalimu mzuri sana anafundisha hisabati kwa wale wanaojiandaa na mitihani, his methodologies are the best na ninapendekeza mwenye kijana wake (form I to form IV) aende akamuene huyu mwalimu. Anafundishia stand ya Makoka (St. Raphael Nursery School) karibu na KKKT Kibangu, ameshawahi kufundisha Nsumba Secondary, Kowaki Sec, Taqwa. Ni maarufu sana kwa pale Mwanza ila kwa sasa yuko likizo Dar na amejitolea kuwasaidia wanafunzi wasiliogope tena somo la hisabati..

Kwa jinsi anavyojiamini anawafundisha wanafunzi halafu wanamlipa wakisharidhika/elewa
 
Back
Top Bottom