Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,991
Ni mjadala mzito nnilikuwa na jamaa yangu mmoja ambaye anashughulikia hapa mambo ya Domestic Violence. Position zetu zilikuwa mbili tofauti moja ni kwamba huwezi kuwa survivor bila kuwa victims - you have to move from being a victim to being a survivor. Position nyingine ni kuwa ukishasalimika na mambo haya wewe siyo victims ni survivor. Je, ni wakati gani mtu anakuwa victim (mhanga) na wakati anakuwa ni survivor?