WALE WANAHISTORIA "CHARTISM NA LUDDISM Tanzania

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,163
787
nakumbuka kwa mbali sana, migomo ya wafanyakazi inafanana fanana kwa vipi? je madaktari wanatekeleza kilichonzishwa na walimu, TRL , wale vijana wa viwandani? au laa mgomo ile na uharibifu wa ludd na chartst move zina falsafa gani Tanzania na migomo, viongozi kuzomewa na kupigwa mawe?
 
Back
Top Bottom