Wale wa ...!

yan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa jenzi!!

Tukicheza kombolela sasa tutajificha wapi humu ndani?
 
tucheze mapiku mgogoro kwenye kuombwa ma... aka nhyah au kalanga nani atakubali kulamba?
 
yan hili jukwaa limetawaliw na football tu!!! mi naomba leo tucheze michezo mingine!! kama rede kwa girls!! tushindane kuvuta kamba!! kombolela! voolleyball, netball! na mingineyo!!
msisahau kuvaa jenzi!!
mpaka nastaafu huu mchezo wa kombolela nilikuwa nakata rekodi ya kutokamatwa hata siku moja na nilikuwa bingwa wa kubutua
 
bi mdogo.
mi nasubiri siku ukichedha netboli nikuone unavoruka, pia ukimaliza kucheza nkufute jasho na kukunywesha juithi..
 
mpaka nastaafu huu mchezo wa kombolela nilikuwa nakata rekodi ya kutokamatwa hata siku moja na nilikuwa bingwa wa kubutua

hunishindi mimi, maana nilikua na rekodi ya kujificha na tubinti...halafu twenyewe ndio tulikua tunanizimikia,nilikuwa natupaje mambo...
 
ndo nilikoanza kujifunzia hii michezo, nilikuwa napenda kujificha na wasichana wakubwa, tukipotea ujue lazima nipate kitu, hapo hata sijabalehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom