wale wa St.Peter's seminary,morogoro 1990-93

Castle

Senior Member
Jul 25, 2008
116
20
wale st.peter's seminary morogoro form 1990-1993

nafurahiu kuwakumbuka wenzangu tuliokuwepo wote enzi hizo wakati wa mr.bota,nyawale mr.mshiru,kinyau,mr.muhina,mr.mluge, sr.edith,sr.anna bila kumsahau rector wetu mzee bonus kizee, mr. mpeka na wengineo.
enzi hizo kulima mahindi sana, rozari na kimba masifu ya jioni na asubuhi, waliojaliwa sasa ni mapadre kama padre joseph mluge ambaye hivi sasa ni rector wa st.peter's, padre cristian likoko, padre nicolous masamba na wengine ambao siwakumbuki.
kwenda deset kununua mikate na kutoka kwenda kilakala girls kwenye disco na mengineo.
kama mpo naomba tukumbusane. pia wakati huo shule academic ilikuwa inongoza Tanzania sijui kwa sasa.
 
Si mchezo.. umenikumbusha mbali sana.. namkumbuka bora useja, mambo ya orchard, vigozi etc
 
e bwana wewe nani ndugu yangu na uko wapi maana lazima tulikuwa wote miaka hiyo, mambo ya beche kulapa chaurch n.k
 
Acheni uongo wenu hapa. St.Peters iliwahi kuongoza TZ mwaka gani? Bring that statistics here plz or else useminari wenu ni wamashaka mpaka mnataja madhambi yenu in public.
 
mzee unadandia gari kwa mbele, wewe si wa st.peters kwanini unaingilia jambo lisilo kuhusu, angalia form results za mwaka 1992 st.peters ilikuwa ya ngapi au wengine mmeumbwa kubisha tu.
 
Ala..Fr Joseph Mluge ndio rector sasa hivi..si mchezo.Alinipokea St. Peter's..na alkiwa room-mate.Ye alikwa form six mi ndio naanza form one.
 
tupo kaka darasa lilikuwa limejaa wataalamu wa kila aina. Sijasahau jinsi tulivyokuwa tishio matokeo ya form four miaka ile, tulikuwa hatukosi katika kumi bora.
 
Back
Top Bottom