Wale wa Sengerema Secondary tujikumbushe

Robweme

Senior Member
May 20, 2009
178
6
Wakuu, wale waliokuwa Sengerema Secondary miaka ya 1995-1997,mnakumbuka misemo hii:
Chaka-sehemu ya kujisaidia kichakani.

Pia mnakumbuka mwalimu katendele, alikuwa anapenda sana kuku.

Mnakumbuka mkuu wa shule anaitwa Matu, nimepata habari kuwa alisitaafu.

Mwenye mengine naomba tukumbushane, Nyamazugo road, nyampurukano tulikuwa tunafuata maji ya kunywa ya kisima.
 
Áisee! Umenikumbusha mbali enzi za mzungu mweusi Igosha,Bwawani,Nyanchenche,Ibisabageni unamkumbuka mwalimu wa scout Willy, Sister Laura mwalimu wa Mathematics A-level, mimi nilikuwa bweni la Mirambo tukishamaliza kula chakula cha jioni mnachukua mpira wa basket hapo hapo uwanjani mnaunganisha kucheza, Taa tulikuwa tunaweka karatasi nyeupe kuzuia mwanga kupiga direct.

Umenikumbusha mbali!
 
Mwl.Kagua wa Physics siku hizi yupo Nsumba sijui Raphael a.k.a Msela siku hizi atakuwa wapi kuna wakati nilisikia akili zilifyatuka
 
Du! Mkuu hii ndiyo kwanza naipata Matu alishafariki Aisee! alikuwa Headmaster wangu mwaka wakati nipo o-level(RIP)
 
chaka bado ipo?
ule uwanja wa basket je??
eti siku hizi mabafu yanatoa maji!!
lile bwawa bado lipo??
mabweni bado yana majina yale yale kama,..mirambo(nililala mimi),kimweri,kibasila,mkwawa
enzi zile disco lilkipigwa bwaloni tulikuwa tunawaalika madem wa nsumba,walipinda kimbwa..
zikifanyika harusi bwaloni,..kadi moja wataingia madenti mia..
namkumbuka nduli,escoba,zungu,gamutu,msavimbi,mchafu,. etc
alikuwepo ticha mmoja anaitwa kachecheba alikuwa nuksi kichizi,pia mwl buga
headmaster alikuwa Matu(RIP),second aliitwa Igosha
alikuwepo ticha mmoja mmarekani alikuwa anavaa nguo wiki tatu bila kuchange
namkumbuka mwita bwaloni,..alikuwa anagawa msosi,akikupiga mnyengo ukilalamika kibakuli anakitupa kule na ugali wake...
nyimbo tulizokuwa tunasikiliza ni za kina tupac,coolio,krisskross,naughty by nature,dabrat,mclyte na wagumu wengine
bongo tuliwasikiliza akina too proud,GWM,Kwanza unit,diplomatz na wengineo
tulikuwa hatuna mobile phones

icon1.png
Kwa waliosoma sengerema secondary school pekee

Mkuu hii post ingeenda kwenye matangazo madogomadogo uenda ingepata wadau zaidi by the way nadhani you mean may 95 to may 97 Mr OG
 
Haya bana watakuja vijana wa Sengerema Sec (Shule ya Wanaume) mjadili!

BTW: Vijana wengi waliopita hapo na mimi ni mmoja wao 1991 ndiyo niliondoka hapo!

Nashukuru kwa kunikumbusha "chaka" na "slice" na "Homa ya uti wa Mgongo" na "Kipindu pindu" na all those bad memories!

Ile shule ilionekana kama chuo cha mafunzo ya mgambo!

"... emininga mumatu.."
 
pia there were some stories za popo bawa sijui hii ilikuaje.... although binafsi siamini hii kitu
 
Áisee! Umenikumbusha mbali enzi za mzungu mweusi Igosha,Bwawani,Nyanchenche,Ibisabageni unamkumbuka mwalimu wa scout Willy, Sister Laura mwalimu wa Mathematics A-level, mimi nilikuwa bweni la Mirambo tukishamaliza kula chakula cha jioni mnachukua mpira wa basket hapo hapo uwanjani mnaunganisha kucheza, Taa tulikuwa tunaweka karatasi nyeupe kuzuia mwanga kupiga direct.

Umenikumbusha mbali!

Huyu Sista ni Mwalimu wangu and mentor pia - Taarifa nilizonazo ni kuwa ali-commit suicide! (RIP) akiwa Kibosho Girls!
 
icon1.png
Kwa waliosoma sengerema secondary school pekee

chaka bado ipo?
ule uwanja wa basket je??
eti siku hizi mabafu yanatoa maji!!
lile bwawa bado lipo??
mabweni bado yana majina yale yale kama,..mirambo(nililala mimi),kimweri,kibasila,mkwawa
enzi zile disco lilkipigwa bwaloni tulikuwa tunawaalika madem wa nsumba,walipinda kimbwa..
zikifanyika harusi bwaloni,..kadi moja wataingia madenti mia..
namkumbuka nduli,escoba,zungu,gamutu,msavimbi,mchafu,. etc
alikuwepo ticha mmoja anaitwa kachecheba alikuwa nuksi kichizi,pia mwl buga
headmaster alikuwa Matu(RIP),second aliitwa Igosha
alikuwepo ticha mmoja mmarekani alikuwa anavaa nguo wiki tatu bila kuchange
namkumbuka mwita bwaloni,..alikuwa anagawa msosi,akikupiga mnyengo ukilalamika kibakuli anakitupa kule na ugali wake...
nyimbo tulizokuwa tunasikiliza ni za kina tupac,coolio,krisskross,naughty by nature,dabrat,mclyte na wagumu wengine
bongo tuliwasikiliza akina too proud,GWM,Kwanza unit,diplomatz na wengineo
tulikuwa hatuna mobile phones
ilikuwa 1994-1997
na nilikuwa maarufu kwa jina la ORIGINAL GANGSTA(OG),
wewe ni nani na uko wapi

jamani kiukweli,umenipeleka mbali mkuu, Ni kweli mzee Matu aliitwa na Mungu kwa presha,alifariki akiwa ameketi sebureni,mtakumbuka alihama SESESCO akapelekwa SOnge kule Mara,baadaye walimwondolea madaraka akarejeshwa NYAMPU.
Kachecheba alisoma chuo cha ushirika moshi sasa ni afisa ushirika wa wilaya.
MWL MASANYIWA ni afisa utamaduni wa wilaya kule sengerema.
Bwire ni headmaster katunguru sec.
Mzee Igosha yupo moro anasumbuliwa na presha na kisukari.
ni kweli msela alichizi.
Mtamkumbuka mwl Magambo yupo singa bado.
 
Back
Top Bottom