Zipuwawa JF-Expert Member Nov 28, 2010 3,051 653 Mar 25, 2011 #1 Mimi Mwana JF ni siku nyingi nimekuwa nikitaka kukutana na Jf hapa Moro ila sijafanikiwa kuonana hata na mmoja sasa kama mpo tutafutane jamani. na wale wanakuja Moro karibuni sana kwenye mji tulivu usiokuwa na foleni. Asanteni
Mimi Mwana JF ni siku nyingi nimekuwa nikitaka kukutana na Jf hapa Moro ila sijafanikiwa kuonana hata na mmoja sasa kama mpo tutafutane jamani. na wale wanakuja Moro karibuni sana kwenye mji tulivu usiokuwa na foleni. Asanteni