WALE WA MKWAWA UNIVERSITY a.k.a MUCE a.k.a CHUO KIKUU TUSOMANE HAPA.

Dogo karibu sana Mkwawa,Ni Camp Ambalo watu wanakata shule,Chakula buku unapata,watoto wakali,walimu wazuri,wellcome to the best zone in Africa
 
habari za kitabu nimezifurahia sana kama kiwango cha elimu ya MUCE ni kizuri.mimi mwenyewe nitakuwepo BAED.
 
Muce kuna babu mmoja anaitwa dr itandala kwa wale wataosoma histor mjianda kukesha mnasoma au mtaondoka na sup za kutosha, ila kwa ujumla chuo kipo poa, ulanzi pia upo wa kutosha ni wewe tu
 
Aisee wape kweli,kama unasoma History jiandae kukariri,utakutana na Dr Itandala,
 
Kama tunakutishia nakuombea wakupange history afu utatuma uzi hapa,kupita utapita lakini kwa kukariri,hataki ujibu kinyume na notice na haroi notice na lecture moja zaidi ya watu 250
 
Jamani baridii la ukoo mtaliwezaaa

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Msisahau makoti ya kawaida,iringa ina joto kiasi,imeingiliwa na global warming xco kama zamani,na kuna virus usibp
 
Muce kuna babu mmoja anaitwa dr itandala kwa wale wataosoma histor mjianda kukesha mnasoma au mtaondoka na sup za kutosha, ila kwa ujumla chuo kipo poa, ulanzi pia upo wa kutosha ni wewe tu

Acha kukatisha tamaa wenzako we umefikaje?
 
Back
Top Bottom