wale wa milambo secondari mnakumbuka nini?

Ntaramuka

Senior Member
May 2, 2008
169
27
Wana JF mliosoma Milambo Sekondari pale Tabora mmo humu ndani kweli? Na kama mmo mnajua kuwa shule yetu ni miongoni mwa shule korofi sana hapa Tanzania?

Mimi sitasahau siku wanafunzi wa Milambo walivyovyamia na kuwachapa wanafunzi wa Taabora girls mwaka 2004. Niliogopa sana kwani ndo kwanza nilikuwa ninajiunga form 5
 
Back
Top Bottom