Wale wa Jitegemee secondary (Jiteute)! wazee wa kwato

Omugasi

Member
May 29, 2009
37
0
Tujikumbushe jamani tulipotoka enzi za masawe! na hata kwa wale wadogo zetu mnaweza kutuambia yaliyoendelea kujiri, na wakubwa wetu mtuambie waliyojiri pia.
Mnakumbuka enzi za kujificha kwenye madarasa ya steer-band, halafu maafande wakija ni kukimbizana nao,na wakitukamata kwato lake si mchezo.
tunakumbuka jiteute kwa michezo jamani??mpira wa kikapu tulikuwa juu...
karibuni tujikumbushe.
 
Kuna afande mmoja alikua anaitwa Kiimbi...mfupi ivi jamaa alikua akikukimbiza akukosi....akikukamata ni kichura chura mpaka displine office kwa mzee bwenge..apo ndio utajuuuta kuifahamu Jitegemee..maana utakula stick za dabo dabo kwanza kama ukaribisho kabla haujapewa dozi kamili....ila jamaa naskia alikuja kuvuta... RIP afande Kiimbi.
 
Ha ha ha hapa sasa tutaanza kutajana majina bureeeeeeeeeeeee. Lkn all n all Congraturation MKipingu enzi hizo Capt. Kipingu, Major Ngajua ambaye adhabu yake anakwambia shika p.............., Major Masawe, Wajadi nk......
 
kuna mwalimu mmoja alikuwa ana mazalla,daah huyu jamaa alikuwa noma
 
Kuna afande mmoja alikua anaitwa Kiimbi...mfupi ivi jamaa alikua akikukimbiza akukosi....akikukamata ni kichura chura mpaka displine office kwa mzee bwenge..apo ndio utajuuuta kuifahamu Jitegemee..maana utakula stick za dabo dabo kwanza kama ukaribisho kabla haujapewa dozi kamili....ila jamaa naskia alikuja kuvuta... RIP afande Kiimbi.
ni kweli wakunyuti, mi alikuwa best yangu kinoma mungu amlaze pema. Lakini unajua wale maafande walikuwa wahuni sana kwa kuwatokea mabinti mmmhh hatari! binti akitokewa na akakubali hata smart area hakimbii. ila jamani pale ilikuwa mtu usichelewe zaidi ya saa mbili la sivyo utakula vichura mpaka saa nne
 
Wanafunzi wa jitegemee mnasambaza ukimwi mjini.......yule mwalimu Bonabucha kawafagia vitoto vya shule na nyie mnamega...navyo vinamegwa mtaani nanyi mnamega mtaani mwisho mnaleta virusi mpaka shule za kishua kama ST marys na IST......komeni
 
Cant believe you aint here,we miss you big time,
 
kuna mwalim m1 kipind cha 1999-2001 jina lake halisi silikumbuk ila la utani 2likuwa 2namuiiata madilu.alikuwa anaenda lesi sana
kwa kuuza hands out(mapamfleti).dah jamaa alikuwa poa sana.yupo huyu jaman?
 
Mr bucha and mrs lymo died

Mrs Lyimo alishafariki
Dah may her souul rest in eternal peace
Alikuwa mwalimu mzuri sana na mshauri mzuri pia
Mrs Shirima alikuwa anafundisha History form one na two miaka ya 1995 na 1996 sijui kaishia wapi
na Mama Mnzava wa Biology olevel
 
oyeaaaaa wana wa jite yaan nkimkumbuka ndiamkama yaan nachoka kabisa na pale kati afande k na tall yaani full burudani....big up jiteute
 
Ndyamukama nafikiri alikuwa academic huyu
Na Ndite alikuwa anafundisha nae maths
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom