WALE WA INTERNET VIA AIRTEL AT 23h00..

Wi-Fi

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
2,091
1,378
Kwa wale wa MB 200 za bure kutoka airtel internet kwa sasa ile offer imerudi! Cheers:poa
 
yeah imerudi mkuu.tangu mwaka ulivyoanza. This time kama 200MB zako hazijaisha you can use them siku nzima mpaka ziishe.cha msingi usidisconnect tu internet connection
 
Na kama unatumia kwenye simu je,hizo MB zitakuwepo siku nzima?
 
yeah imerudi mkuu.tangu mwaka ulivyoanza. This time kama 200MB zako hazijaisha you can use them siku nzima mpaka ziishe.cha msingi usidisconnect tu internet connection
*102*6#
Message: You have 100 MB DATA to be used between 23:00hrs to 06:00hrs.
 
tusiandikie mate mkuu. Jaribu leo. Usimalize MB zako na wala usidisconnect modem yako mpaka 06:00hrs.then kama MB zako hazijaisha utazitumia siku nzima as long as you don't disconnect your modem mpaka ziishe.ikiwezekana tafuta line ambayo haina vocha kabisa ili upate uhakika vizuri
 
Back
Top Bottom