Wale wa Ihungo tujikumbushe

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua chonya na wengineo. wanafunzi Bukwimba, Kagito, maitalya, mutungi, komwihangiro, Fredy Puff, joe Felix, Seetbert Rwezaula, Makubo, Mtambi wa kuchongwa, Musobi,Ngomale Mansori, Alfred matuntela, Kassanga francis na wengineo na headmaster wetu BB. Bakula
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom