Wale wa Ihungo tujikumbushe

mashikolomageni

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
1,570
187
Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua chonya na wengineo. wanafunzi Bukwimba, Kagito, maitalya, mutungi, komwihangiro, Fredy Puff, joe Felix, Seetbert Rwezaula, Makubo, Mtambi wa kuchongwa, Musobi, na headmaster wetu BB. Bakula
 
Nashangaa hukupata response mwaka mzima, tupo na ndio sisi. BBB was a good man. Spirit ya Ihungo iko juu, i wish my sons emulate it. Mastery for Service was and is still our motto!
 
Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua chonya na wengineo. wanafunzi Bukwimba, Kagito, maitalya, mutungi, komwihangiro, Fredy Puff, joe Felix, Seetbert Rwezaula, Makubo, Mtambi wa kuchongwa, Musobi, na headmaster wetu BB. Bakula

lol ni jana tu nilikuwa naulizwa na ndg yangu km naifaham hii shule....kwa ninyi mliosoma hapo mtakuwa mna details nzuri sana!mnaweza kutuwekea hapa ikatusaidia.....
 
aahh...aaah.., kaka unanikumbusha maisha ya st. Moore thomas, nilkuwa bweni la kilimanjaro pale, njia ya kwenda ROckssssss
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom