wale wa ifm karibun xana

Ebwana ifm watu wanaichukuia pouwa sana pale watoto wa diploma na certificate ndio wanaocheza na kukiharibia jina kile chuo, sasa kama wewe unasikiliza maneno ya watu kuwa ifm ni kula bhata tuu nenda kachete alafu utaona utakavyo graduate kabla ya muda, degree ifm ni kitabu kwa sana na sio michez kama msemavyo watu jamani. Nawakikishia hili kuna watu wataja kuwa mashuhuda wa nisemayo hapa.
 
the best institute for bussiness oriented courses in east and centre africa ,
bsc insurance and risk management
bsc social protection
bsc tax management
tafuta vyuo vyote tanzania kama utapata hizi course ambazo zipo hot kwenye industry ya ajira
 
m nimefanya field nssf na nina washkaj wamefanya bank yan wanakuambia huko wamejaa xana madent wa ifm afu kumbe chuo cha ifm kiko xo marketable m mwenyewe mwanzo nlikuwa nakichukulia pouwa bt nw am proud 2 b there .neema karbu na m npo pale napga bsp naingia secnd yr ua welcm bt ujpange
 
mountana YOU BETTER TELL HAWA WATU ME HUWA CPENDI KUONGEA SANA LAKINI WAWEZA WAPA ATA KAUSHUHUDA KUHUSU MSULI WA IFM HASA KWA DEGREE TAKERS. MANA ME NITAONEKANA KAMA NAONGEA SANA KUVUTIA KWANGU.
 
Last edited by a moderator:
mountana YOU BETTER TELL HAWA WATU ME HUWA CPENDI KUONGEA SANA LAKINI WAWEZA WAPA ATA KAUSHUHUDA KUHUSU MSULI WA IFM HASA KWA DEGREE TAKERS. MANA ME NITAONEKANA KAMA NAONGEA SANA KUVUTIA KWANGU.

prezidaa... vp ulipaji wa ada hapo kama unamkopo?/.... nackia et hawatambui mkopo mpka bdae sana gvt itakaposend hela..je kuna ukwel hapo???
 
Last edited by a moderator:
eeeeeeeeehhhhhh jaman kaka zangu me nakuja xana 2 huko kwny msuli cnc adv nlikuwa na dream ya hiko chuo unajua bhna unaposoma chuo unachokipenda na course unayoipenda tz grt coz unasoma kutoka moyoni na pia unasoma ukiwa na amani cheeeeerrrrrrrrrrr 2 u ol jaman nakaribia mnipokee kumbe nachama kubwa xana hapa
 
ww 2 ucwaze neema karbu xana 2 dada ye2 bt upge kwel mixur cz wengne wakfka pale wanachange cunajua tena mjn mambo meng dk ya mwisho wanaamburia kudisco first sem
 
Amri kuu hapa IFM
- Mwenye kiu mpoze (siyo ya maji wewe) ehee hiyo hiyo unayofikiri sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom