wale wa dodoso fupi jamani hebu tujazane maana nimekosa imani

Bulah

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
247
56
jamani huku kwetu mwongozo unasema siku nane ila tumeambiwa tunalipwa hela ya semina ya siku nne tu... tueleweshane jamani...
 
Siku ni saba za Semina,sasa kama mnalipwa siku NNE hizo nyingine mtakuwa manaenda KUJItolea au ?Wizi Mtupu,dhulumati ?,Kumbe WIZI huo upo kila sehemu,Mitaa ya TABATA wale wa DODOSO fupi wameanza Semina Jana na walipohoji watalipwa Tsh ngapi wakaambiwa hawapaswi kujua watapewa tu na kama wanaona hawawezi KAZI waondoke zao,makuuubwaaaaaa,that show hawa jamaa wanadharau na wafanyakazi wao na hawana shida na wafanyakazi,badala ya kuwanyenyekea wanakuwa na lugha ya dharau....kwakuwa wengi wameengia kwa magumashi na dhiki ya ajira wanakuwa wapole ,kuwa na moyo mgumu komaa pokea mshahara wa siku nne na nyingine jitoleee,Polee weeee:A S cry:
 
Back
Top Bottom