Wale Tunaowadai NACTE tukutane hapa

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Mimi ni mhanga ambae mara ya kwanza NACTE ilipotoa taarifa wanafunzi wa diploma watume maombi kujiunga na shahada kwa vigezo ya GPA 2.7 baada ya kubadilishia gia angani nilijikuta sina sifa ya GPA 3.5 sasa nilikuwa nakaulizia kale NON REFUNDABLE FEE kwa sababu kuna Tangazo lenu mlisema mtakarejesha kabla ya Mwezi wa tisa.

SASA NAONA KIMYA AU MMEAMUA KUTUDHULUMU. ni hayo tuu nisije nikaambiwa mchochezi
 
nacte wanapaswa kutambua ALUTA CONTINUA about that money
 
Mimi ni mhanga ambae mara ya kwanza NACTE ilipotoa taarifa wanafunzi wa diploma watume maombi kujiunga na shahada kwa vigezo ya GPA 2.7 baada ya kubadilishia gia angani nilijikuta sina sifa ya GPA 3.5 sasa nilikuwa nakaulizia kale NON REFUNDABLE FEE kwa sababu kuna Tangazo lenu mlisema mtakarejesha kabla ya Mwezi wa tisa.

SASA NAONA KIMYA AU MMEAMUA KUTUDHULUMU. ni hayo tuu nisije nikaambiwa mchochezi
hawakusema kabla ya september,walisema kwamba watarudisha mara baada ya kumaliza swla la udahili.

pili,
tambua maana ya NON-REFUNDABLE FEE
 
Back
Top Bottom