Wale msiojua ya Dodoma, B.W. Mkapa hakuwa na jinsi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,139
Mwanzo alikuwa wazi kumteteta lowassa

yalipofika 5 bora..akaweka live ataki kuona jina la membe..si hivyo kuna.mmoja akasema who r u??ngoma ikachezwa na maji u yakajibu..mmoja akaumia.nduguye katoswa..sasa ktk siasa lazima mjue kila mtu anapenda upande utakaomlinda..akukuwa na jinsi alipoona jina la magufulia.na yeye n mwanae hata mm ningesonga mbele

kumbukeni ya

kiwira

nyumba za serikalini hapa kuna binti alipewa.nyumba masaki na mikocheni anamiliki hotel hewa pale kushoto mbele ya shell za tsn bamaga

kuna epa..

Kuna...hizi zote lazima utafute mlinzi wa kuzilinda..so sioni vyema kumsema bwm hata wewe kama binadamu kwa vimeo hapo juu lazima udili na.mtu unaemjua...

All the best ukawa vs magufuli

any atakaeshinda tutaita chaguo la mungu
..
 
pamoja na mikataba isiyokidhi, miswada iliyopitishwa bungeni, ufisadi, matumizi mabovu ya pesa za serikali...ccm kaz ipo
 
kukatwa kwa lowasa kumewachia waliokua wanafaidi hela zake,majinamizi.
mtu anaamka hata saa kumi usiku kuanzisha uzi ....
yameshapita hayo,ikirudi pancha....
 
Una maana ni upande mmoja utalindwa na mteuliwa. Je, nani atalinda maslahi ya mstaafu wa hivi karibuni?

Unaonekana kuwa na mengi, ila hofu yangu ni kuwa waweza kuwa kambi iloshindwa.

Yote kwa yote.....mi ukawa...kura yangu ni kwa Dr.Slaa..
 
kwa hiyo mzee wa kiwira stole the show?d.haifu is weak indeed.Lakini mr.nbc anakumbuka boyz to men walivyo-hijack the show back in 2005,they cramped his style...revenge is sweet.
 
yaziadaa .
.kubwa tu anaweza asielewe pia..

acha kupenda sifa ukishaona mabinti wanachangia post zako bana,,, sasa hii thread ina nini zaid ya kunuka moshi wa bangi ilochanganywa na mbolea ya ng'ombe tu?? tena mbolea ilokaa zizini miaka mi3 mfululizo bila kutolewa
 
Haaahaaa wakuu
Kumbe ni wengi wanahuzunika na kingunge...

Cha msingi turejee maneno ya hayati Mwl mwaka 1995 dhidi ya huyu bwana Edward.. alisema kamati ilikuja na ikaondoa baadhi kwa hoja, je 2015 imekuaje?
 
Back
Top Bottom