Wale mliochaguliwa chuo cha kodi (ITA )dar tutafutane

unataka msaada gani funguka ,maaana si wote ni wanafunzi wengine tu self interest with ita tunaweza kukusaidia
 
Hivi ungekuwa umechaguliwa havard university si ungeanzisha blogu ya alumni kabla hujajiunga? Unakaribisha utapeli, kuku mgeni hakosi kamba mguuni lakini hawiki wala kuulizia njia kila saa. Nenda chuo utayajulia huko huko
 
Back
Top Bottom