Wale Minaki Mpo?

da mnakumbuka bonge la vujo lilitokea mwaka 1995 kipindi hicho nipo f1. Chanzo wanafunzi walipigwa na makonda wa daladala la bona bana.mnakumbuka mwanafunzi nkuba masanja ngondi alipotea kipindi kili tukaingia msituni kumtafuta,mnakumbuka wanafunzi wa kisarawe junior walikuja kusoviwa pepa masela wakawachenjia du long time sana.ugomvi ktk bweni la shabani robert kati ya bosnia na kigali du. Mwembe met bado ipo?
 
154273_143025339083237_100001273159887_270381_4691086_n.jpg
hahahahaaaah Ngoma Mnyampala hii
 
Minaki is the Best school-2001 to 2003 nilienjoy sana! Mrs Kafumu,Mr Mbeikya Mr Joho na Mr Libaba and the rest of Teacher mpo juu! R.I.P Mjale, he's the Best Headmaster ever! Nakumbuka na ule mwimbo wetu wa Shule (shule yetu Minaki,shule ya Tanzania! Imeelimisha wengi na kuwapa elimu,Minaki yajulikana tangu bara mpaka .................,......................)
 
hahahaaaaah nimesoma uzii huu nimecheka kweli ! umenikumbusha mambo mengi sana ! juamani mimi Mwasakafyuka nipo sana hapa jijini Dar es salaam
 
Back
Top Bottom