Wale Minaki Mpo?

Hahahaaaa! nakumbuka enzi za 1987/89 A-level tulikuwa na headmaster wetu Mtesigwa alikuwa poa sana. Nakumbuka tukienda kucheza soccer Kisarawe walikuwa waiogopa timu yetu sana. Katika timu hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kucheza kama beki wa katikati nikitoka kucheza wing ya kulia nikiwa Tambaza. Nilipata mafanikio mpaka kuchaguliwa timu ya mkoa hadi kanda namshukuru sana mwalimu wa Footbal wakati ule Mwl. Mrope
 
Ha ha ha jamani wana wa MINAKI tupoooooooooooo

NImefurahi sana kusoma humu ndani ya JF na baadhi ya wakuu kunikumbusha mambo ya Minaki.

Mwl Tilya kanifundisha Geograph, namkumbuka Fumbuka na kiiingereza chake cha kisukuma, Mareheme Zanta (RIP), Kabahoza.

Nakumbuka mihogo ya yule Kinyogoli, chapati za Mama Mwasi zilikuwa tamu, alikuwa mtaalamu sana wa kupika chapati.Enzi zile haluna magari tunatembea mpaka Gongo la mboto Mwisho wa Lami ndio tunapata gari la kuja mjini.Kwenda Kisarawe mjini usiku kunywa Beer ukumbi wa disco wa Zimbabwe................yaaani ilikuwa burudani sana
Namkumbuka sana PAUL MJALE head Master wangu (RIP). Huyu Baba alikuwa mchapa kazi sijawahi kuona, Mwl mwingine ni Mzee LIBABA alikuwa anatufundisha History, nasikia yupo kwake Kibaha
 
...enzi hizo kulikuwa na akina bob chura,mwiba,galopa mkristo...

hhaaahah namkumbuka yule, ebwana tena umenikumbasha akina galopa mchizi alikua ana buti kubwa kushinda mwili wake kudadadeki makongoro tulikua na machizi kweli!!!

He was a legacy of Tambaza Nation.... GALOPA MUKRISTO MU'CHAFU....aha haaaaaaaaaaa! Woyo!

Arrived at Minaki after Home Minister Mrema dissolved and dispersed Tambaza students to schools across the nation in the aftermath of a tragic death of a bus operator during a soccer melee involving Tambaza. When Galopa checked in at his new campus the place froze into a heightened security alert! Everybody took notice thru big bold paintings on the walls of Minaki, "GALOPA MUKIRISTO MU'CHAFU" is here.

The man shared the passion that most every citizen of Tambaza held so faithfully: Hate for the bus operators who bullied and subjugated city students. Gotta love him. Minaki guys, I had to salute Galopa, another one of Tambaza greats!
 
leo nimefurahi baaada ya kusoma hii post, mmenikumbusha hadithi za Fumbuka na kingereza chake, sasa hivi ni mkuu wa shule maeneo ya Kilwa huko,nilikutana nae Temeke sterio akinunua nguo, Kabahoza baada ya zile skendo za mapenzi na watoto wa shule alihamishiwa kwao bukoba, ila anaonekana sana Ukonga hasa nyakati za likizo, Libaba huyu alikua mwalimu wa historia kwa HGE alistaafu akawa mkulima kule Ruvu ila inadaiwa alipewa mkataba wa kazi kule Ruvu secondary.
nakumbuka miogo ya kisarawe, chapati za mama babu...daah masikini ananidai bill yake ya kama wiki mbili.
Hivi yule mwalimu wa kifaransa alikuaga anapiga picha alikua anaitwa nani?
kuna jamaa anaitwa Shikunzi John , huyu alimaliza HGE mwaka 2000, alikuaga anawakusanya madenti wa form twa hadi four kwa lengo la tuition ya bure, miaka mingi baadae kumbe nikaja gundua kumbe ilikua mbinu ya kupatia totozi,
wapo wasela wengine kama Tumaini kweka, SAMSON MWASAKAFYUKA ...Huyu alikua mzee wa shaban Robert dom kisha baadae Mnyapara.Bishoo Nelly Kamninyoge sasa hizi ni afisa uajiri serikalini. Juma samson Josluo sijui yuko wapi siku hizi.
Niungane na wengine wote kumuombea pumziko la amani Mjale P. MKUU WETU WA SHULE. ipo siku tutakutana tena maana nasikia kuna bonge na party linaandaliwa kwa wote walio maliza pale, nawambeni wale EGM, PCB, PCM NA HGE mliomaliza may 2000, tujitokeze tukumbuke mambo yetu.

Mkuu Papa Sam umenkikuna kweli! Kumbe tulikuwa wote!

Hiyo party lini mkuu, unakumbuka kuna ten tunadaiwa au mwenzangu ulishailipa! HP wetu Masolwa , sorry Dr. Masolwa unamkumbuka pia?

Shikunzi John anaoa hivi karibuni, kikao kinafanyika pale mamaland External Ubungo
Hivi wale vijana wawili walikuwa matoz sana wa o level, wazee wa kununu mitihani waliishia wapi! Mmoja mtoto wa Kitine mwingine mtoto wa msukuma wa SHIREC anaitwa Sura kama si kosei, hii ilikuwa around 1997-2000, not much sure!

Wazee wa EGM mnakumbuka Michael Kaijage mzee wa Namba na Lenjore Lekamoi mzee wa kukariri, jamaa alikuwa anameza kitabu chote cha Principles of Economics! Bravo kaka nasikia tayari una CPA na bosi mkubwa tu na mjengo wa maana Kinyerezi!
 
Jamani mnamkumbuka BI MKORAAAAAA................ha ha ha ha wapi Mark mzee wa Panki, kunamshikaji alikuwa PCB alikuwa anakwaa bweni la Lumumba alikuwa anajiita JAZY a.k.a JIGAAA................

Hivi jamani kuna jamaa alikuwa anaitwa Kilian Kamota yupo wap kwani nilisikia kaenda USA na hajawahi kurudi?
 
leo nimefurahi baaada ya kusoma hii post, mmenikumbusha hadithi za Fumbuka na kingereza chake, sasa hivi ni mkuu wa shule maeneo ya Kilwa huko,nilikutana nae Temeke sterio akinunua nguo, Kabahoza baada ya zile skendo za mapenzi na watoto wa shule alihamishiwa kwao bukoba, ila anaonekana sana Ukonga hasa nyakati za likizo, Libaba huyu alikua mwalimu wa historia kwa HGE alistaafu akawa mkulima kule Ruvu ila inadaiwa alipewa mkataba wa kazi kule Ruvu secondary.
nakumbuka miogo ya kisarawe, chapati za mama babu...daah masikini ananidai bill yake ya kama wiki mbili.
Hivi yule mwalimu wa kifaransa alikuaga anapiga picha alikua anaitwa nani?
kuna jamaa anaitwa Shikunzi John , huyu alimaliza HGE mwaka 2000, alikuaga anawakusanya madenti wa form twa hadi four kwa lengo la tuition ya bure, miaka mingi baadae kumbe nikaja gundua kumbe ilikua mbinu ya kupatia totozi,
wapo wasela wengine kama Tumaini kweka, SAMSON MWASAKAFYUKA ...Huyu alikua mzee wa shaban Robert dom kisha baadae Mnyapara.Bishoo Nelly Kamninyoge sasa hizi ni afisa uajiri serikalini. Juma samson Josluo sijui yuko wapi siku hizi.
Niungane na wengine wote kumuombea pumziko la amani Mjale P. MKUU WETU WA SHULE. ipo siku tutakutana tena maana nasikia kuna bonge na party linaandaliwa kwa wote walio maliza pale, nawambeni wale EGM, PCB, PCM NA HGE mliomaliza may 2000, tujitokeze tukumbuke mambo yetu.

Ee bana unamkumbuka Frank Masilingi aliyekuwa anamtaka Edwardina bt Kaijage akampiga bao! Ila Frank alikuwa na mapozi mshikaji mpaka basi Kuna mshikaji mwingine alikuwa wanafanana na Frank, alitokea Makongo, nafikiri anaitwa Imma, alikuwa PCm, huyu nae sijui aliishia wapi?
 
leo nimefurahi baaada ya kusoma hii post, mmenikumbusha hadithi za Fumbuka na kingereza chake, sasa hivi ni mkuu wa shule maeneo ya Kilwa huko,nilikutana nae Temeke sterio akinunua nguo, Kabahoza baada ya zile skendo za mapenzi na watoto wa shule alihamishiwa kwao bukoba, ila anaonekana sana Ukonga hasa nyakati za likizo, Libaba huyu alikua mwalimu wa historia kwa HGE alistaafu akawa mkulima kule Ruvu ila inadaiwa alipewa mkataba wa kazi kule Ruvu secondary.
nakumbuka miogo ya kisarawe, chapati za mama babu...daah masikini ananidai bill yake ya kama wiki mbili.
Hivi yule mwalimu wa kifaransa alikuaga anapiga picha alikua anaitwa nani?
kuna jamaa anaitwa Shikunzi John , huyu alimaliza HGE mwaka 2000, alikuaga anawakusanya madenti wa form twa hadi four kwa lengo la tuition ya bure, miaka mingi baadae kumbe nikaja gundua kumbe ilikua mbinu ya kupatia totozi,
wapo wasela wengine kama Tumaini kweka, SAMSON MWASAKAFYUKA ...Huyu alikua mzee wa shaban Robert dom kisha baadae Mnyapara.Bishoo Nelly Kamninyoge sasa hizi ni afisa uajiri serikalini. Juma samson Josluo sijui yuko wapi siku hizi.
Niungane na wengine wote kumuombea pumziko la amani Mjale P. MKUU WETU WA SHULE. ipo siku tutakutana tena maana nasikia kuna bonge na party linaandaliwa kwa wote walio maliza pale, nawambeni wale EGM, PCB, PCM NA HGE mliomaliza may 2000, tujitokeze tukumbuke mambo yetu.

Umemsahau John Kisomo Joshua Mtae, Tumaini Kweka ni wakili wa serikali bukoba, Mwasa sijui yuko wapi mara ya mwisho alikuwa IFM, Nelly ni msaidizi wa waziri Masha. Vpi Ambrose Assenga na Andrew Peter (White) wako wapi?
 
Andrew Peter white siku hizi yuko NSSF dsm Kama mkadiriaji majengo , alisimamia vyema ule mradi wa wa nyumba za MRADI wa NSSF kule kinyerezi, Ambrose Assenga mara ya mwisho alikua anasimamia Guest house ya kaka yake kule mazense, na kama ujuavyo hobby zake, joshua mtae Yuko Azania bank, Mwasakafyuka-Mwasaking baada ya Ifm nasikia yuko maliasili na utalii, ila sina hakika sana.
kuna watu umewasahau wewe ....unamkumbuka Erick mateni ? kawa mwalim siku hizi. kuna yanki mmoja bishoo hivi alikua hapendi kula ugali wa shule anaitwa John Mgimba,...nasikia kawa mmiliki wa magari ya daladala mkoani mbeya.
kuna stori moja yakukaa pale stand tunawasubiri wale wadada wa taasisi walikua wanatoka jioni eti tulikua tunaita kuosha.....
Mjale pamoja na mambo yote alikua hapendi kelele za walokole eti anadai akisikia pressure ilikua inapanda au alikua na dhambi nyingi ?
 
Last edited:
Ambokile jamani?
Ambokile yuko FFU ukonga , jamaa alioa mwezi May mwaka huu, nasikia mshikaji ni mnoko ile mbaya , anapiga virungu sana, alionekana mstari wa mbele kule Tarime ....ansifika kwa ukatili.
ila katika yote Shikunzi ni binadam mtata sana ...maana anaakili kupindukia, mnywaji mahiri, mcheza soka hodari, mzee wa totozi, mtu wa mitikasi.... yaani kama bunduki ni AK 47. KUMBUKA YEYE HUYU ALIKUA MCHORAJI HODARI IKAFIKIA HATUA AKAWA ANAUZA KADI alizobuni mwenyewe kwa madada wa hosteli.
Pamoja na yote hua na mkumbuka Chilongomtwa kiasi maana namashaka katika uharibifu wa shikunzi sijui kama alipona,.....sasa yuko Twaiba Omary...huyu amtoto wakiislam alikua pale hostel....alikua mzuri kiasi cha kuzua rabsha...
mwalimu mzushi yeye alimzidi kete mwalim yule Mlemavu kwa kumchua dada mmoja mwanafunzi wa hostel alikua anaitwa Eliza....mara nyingi alikua akikimbia riadha.
 
wapi Andrew Kinabo florine (hot metal),papaa frumence,kadendula julius,wapi jeremia msofu,wapi nick ligombi,wapi papaa lagu ,kibwana wazee wa kuiba pepa?wapi rich mushi,mnoko mficha madesa andron nikodemas? wapi mapaa paaa wa WALIOMALIZ EGM,PCM,PCB,HGK 2003
 
Namkumbuka Frank aka mtoto wa Masilingi kama alivyokuwa anapenda aitwe hivyo japo mtoto wa Mkulima! Huyu jamaa alikuwa bishoo balaa!
 
Dah kitambo kweli na imenikumbusha mbali sana hii
leo nimefurahi baaada ya kusoma hii post, mmenikumbusha hadithi za Fumbuka na kingereza chake, sasa hivi ni mkuu wa shule maeneo ya Kilwa huko,nilikutana nae Temeke sterio akinunua nguo, Kabahoza baada ya zile skendo za mapenzi na watoto wa shule alihamishiwa kwao bukoba, ila anaonekana sana Ukonga hasa nyakati za likizo, Libaba huyu alikua mwalimu wa historia kwa HGE alistaafu akawa mkulima kule Ruvu ila inadaiwa alipewa mkataba wa kazi kule Ruvu secondary.
nakumbuka miogo ya kisarawe, chapati za mama babu...daah masikini ananidai bill yake ya kama wiki mbili.
Hivi yule mwalimu wa kifaransa alikuaga anapiga picha alikua anaitwa nani?
kuna jamaa anaitwa Shikunzi John , huyu alimaliza HGE mwaka 2000, alikuaga anawakusanya madenti wa form twa hadi four kwa lengo la tuition ya bure, miaka mingi baadae kumbe nikaja gundua kumbe ilikua mbinu ya kupatia totozi,
wapo wasela wengine kama Tumaini kweka, SAMSON MWASAKAFYUKA ...Huyu alikua mzee wa shaban Robert dom kisha baadae Mnyapara.Bishoo Nelly Kamninyoge sasa hizi ni afisa uajiri serikalini. Juma samson Josluo sijui yuko wapi siku hizi.
Niungane na wengine wote kumuombea pumziko la amani Mjale P. MKUU WETU WA SHULE. ipo siku tutakutana tena maana nasikia kuna bonge na party linaandaliwa kwa wote walio maliza pale, nawambeni wale EGM, PCB, PCM NA HGE mliomaliza may 2000, tujitokeze tukumbuke mambo yetu.
 
Namkumbuka Frank aka mtoto wa Masilingi kama alivyokuwa anapenda aitwe hivyo japo mtoto wa Mkulima! Huyu jamaa alikuwa bishoo balaa!
Frank namkumbuka sana, ila ambacho sina hakika alikua ni kweli mtoto wa masilingi huyu mbunge ? au ilikua zuga tu.
Namkumbuka zaidi katika vita zake za madem hasa yule wa PCB.
 
wilson kuja yuko wapi?alikuwa anaishi mirambo kama sikosei.........tunu siza,muhsin hamza,kimosa,samwel ketto, wako wapi..........
yule mwalimu wa kifaransa aliyekuwa anapiga picha nasikia alishafariki(RIP)....alikuwa funny sana.....na yule ticha mlemavu nasikia alipata cheo kikubwa kwenye chamacha walemavu tanzania..........................fumbuka ???????ahhahhahhah
 
nilisikia story za kufariki kwa mwalimu huyo wa French, bahati mbaya sikuwa na mtu wakucpnfirm, kwa ujumla alikua mtu wa vituko vya kila namna ambavyo huwezi kuvitegemeA toka kwa mwalimu, ilikua akiwa zamu kama unataka kwenda town, yaani hana noma. sijui kama Ubalozi WA Ufaransa Dar es salaam ulipeleka mwakilishi kwenye msiba wake.....RIP MWALIMU WA French....Je unamkumbuka jina ?
Nikweli yule mlemavu ni bosi wa kitaifa wa chama cha walemavu, huyu alikua muhanga wa kimapenzi wa mwalimu mmoja anaitwa ......jina lake nimemsahau ila a.k.a yake ni MZUSHI. alikua anamuingilia kwa kila msichana wake.
 
wilson kuja yuko wapi?alikuwa anaishi mirambo kama sikosei.........tunu siza,muhsin hamza,kimosa,samwel ketto, wako wapi..........
yule mwalimu wa kifaransa aliyekuwa anapiga picha nasikia alishafariki(RIP)....alikuwa funny sana.....na yule ticha mlemavu nasikia alipata cheo kikubwa kwenye chamacha walemavu tanzania..........................fumbuka ???????ahhahhahhah

LOL,Unanikumbusha mbali Tunu SIZA alikuwa demu wangu ila nimepata tetesi kaolewa na ana watoto .INANIUUMA SANA natamani nije bongo.

Muhsini nae mzee wa mbwembwe lol.
 
Back
Top Bottom