walakini wa spika kwa rambirambi za waco jacko!!

Huh? Alitoa tamko bungeni kama alivyofanya kwa MJ?

Amandla....
May be in his dream...

fechee2001 said:
Si kweli kama Spika wa Bunge letu hakupeleka salamu za rambirambi. Ni utaratibu mzuri tuliojiwekea kwa Rais, Mawaziri, Wabunge na yeyote anayeguswa na msiba wowote kupeleka salamu za rambirambi, na ndiyo maana vyombo vya habari vikiwemo magazeti, redio, TV zote zilishiriki kikamilifu kwa hilo!
Una uhakika na unacho kiandika....!?
 
Back
Top Bottom