jamani mimi sikumwelewa vizuri mh heshimiwa spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Samweli sitta wakati akitoa rambi rambi za king of the pop marehemu Michael jackson ni kweli nakiri kuwa umaarufu wa michael jakson ni mkubwa sana na amehusika katika matukiao mengi ya uchangiaji wa jamii za kimataifa na hasa Afrika laniki wiki hii tumempoteza mama yetu kipenzi katika muziki wa taarabu hapa nchini Bi Nasma hamisi kidogo licha ya kuwa alikuwa amepotea muda mrefu katika majukwaa lakini kila mtu anajua ukongwe wake na ndio maana hata magazeti mengine yalijaribu kutoa picha zake front page hata kama si kwa ukubwa wa michael jacson laniki cha kushangaza sikuskia bungeni kuzungumzwa au kutolewa kwa rambi rambi kama kuna aliyesikia akitajwa hata na mbunge au yeyote basi mtaniwia radhi kwa haya ninayofikiri kwani muungwana kuomba radhi ni sehemu ya maisha yake.
spika katoa rambi rambi lakini je tujiulize pamoja na kwamba kweli nakiri umaarufu wa Michael jackson ni zaidi ya nasma hamisi lakini Nasima huyu ni mtanzania tena anamchango wake katika sanaa hiyo ya muziki wa taarabu kwa tanzania katika haya yafuatayo hata kama hakuwai kutoa ama kwa njia nyingine kuchangia sehemu ya mapato yake kuisadia jamii ya hapa nyumbani lakini leo hii kuna wasanii wa muziki wa taarabu ni wanafunzi wake ambao wanaishi kwa kutegemea sanaa hiyo kwa sababu tu walikutana na marehemu nasima kidogo,ni kati ya wasaniii waliochangia kuendelea kuwepo kwa sannaa ya muziki wa taarabu hasa katika mapinduzi kutoka taarabu asilia na kuzaliwa kwa modern taarabu ambayo akina mzee yusuphu wa jahazi wanatambia na ndio maisha yao na kudumisha kwa uwepo wa sanaa hiyo ya muziki wa taarabu je huo siomcahango wakumfanya spika kumbuka leo bungeni hapo sijagusa marehemu issa matona sjui kama aliwahi kukumbukwa.
hata kama spika basi binafsi alikuwa ni mshabiki wa Michael jackson kuguswa kwake na kifo hicho ilikuwa ni lazima aseme bungeni kuonyesha hisia zake kwa wenzake kwanini asingeunganisha na kifo cha bi nasima ambaye wiki hii tumempoteza,ajiulize mtu hakuwepo katika majukwaa kwa muda mrefu lakini bado alipewa covarege ya kutosha sisi ni nchi iliyo katika mbio za kutafuta maendeleo mimi naona ni vyema tuwe tunatoa kipaumbele kwa wasanii wetu wa nyumbani pia kwani kama mbunge mmoja alivyosema hivi karibuni bunge letu linaonwa au habari zake zinatapakkaa ndani na nje je tunawafundisha nini vizazi vyetu vijavyo au ndo mnaturidisha nyuma wakati ule akija mwanamuziki wa kongo waziri mzima anaacha ofisi kwenda kumpokea air port mwisho katoka big brother waziri huyo kaenda air port hawachagui jambo gani useme wapi wala lipi uwende kuuungana na watanzania kila mwaliko wamo tu basi wakati mwingine tumeni watu wenu wa chini au waacheni wao waseme.
nina wasi wasi siku Ray,kanumba wakianguka hawatathaminiwa mchango wao na viongozi lakini akifa Anord shwarziniga litasemwa mpaka bungeni lakini tukumbuke hawa wakina Ray pamoja na uwezo wao mdogo wa kucheza filamu au huo huo wa kibongo bongo tunaouwita leo hii wamemfanya Mh Jakaya kikwete kufikiria kushusha ushuru kwenye vitendea kazi vyenye uwezo mkubwa kwa ajili ya viwanda vyetu vya kutengenezea filamu kwani wameonyesha kuwa wana nia ya kufanya mabadiliko na kujifunza utengenezaji wa filamu hapa bongo ni vyema tukawapa moyo kwani home is the best siku zote. sijui wenzangu mnasemaje?sikatai umaarufi wa the wacko jacko uko juu even me namfill lakini hata marehemu Nasima namfill sana tu na kaliacha pengo katika sanaa ya muziki wa taarabu hapa bongo pengo lake lipo!!
nahata kwa upande wa vyombo vya habari tujifunze kuwapa heshiama wasanii wetu mbalimbali wenye mchango mkubwa katika sanaa yao kama vile leo mijipicha mikubwa ilivyotoka katika Dar leo na Alasili tena front page.