Walahi mimi sitaki hii

I can imagine huyo chatu wakati anasogea hizo muscles zinamove chini ya tumbo langu! Kha! I hate reptiles!
 
mie hata kama ni sanamu na nililiona likichongwa sithubutu hata kupita mitaa nitakapoambiwa limewekwa. Sijipendi!!!
 
labda hapo wakisema JK ataachia madaraka endapo ntakaa kama huyo mtoto ndo ntafanya hvyo otherwise mniue tu.
 
Back
Top Bottom