Wala kitimoto tahadhari: It's not a tumor, It's a brain worm

Sasa tafsiri ya NAJISI, ndio Bwana Yesu Kristo, aliyekufa msalabani kwaajili ya dhambi zetu (mimi na wewe) , alikujanayo katika Marko.
haelewi huyo, damu ya Yesu ilimaliza kila kitu, kula kitu roho inapenda utapitwa we mama Faiza
 
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Sasa dada yangu, ebu tuwekane sawa hapo kuna sehemu wameandika haramu?

Je kwa katika kusoma kwako kote haramu na najisi ni kitu kimoja?

Na kwa uelewa wako NAJISI ni nini?
 
Sasa dada yangu, ebu tuwekane sawa hapo kuna sehemu wameandika haramu?

Je kwa katika kusoma kwako kote haramu na najisi ni kitu kimoja?

Na kwa uelewa wako NAJISI ni nini?

Wewe hata maana ya neno haramu huijuwi. Haramu ni kile ulichokatazwa.
 
bwana weeee! huyu mdudu..watu wa kaskazini wanaelewa toroka uje!....ha haaa..mara kiboriloni..hujakaa sawa majengo..hujabinua mguu uko soweto mweee
 
“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Ebu isome vizuri na kwa umakini ukiongozwa na ROHO MTAKATIFU, hiyo Marko 7:14-23
Marko 7

1 Kisha Mafarisayo, na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemu, wakakusanyika mbele yake,

2 wakaona wengine katika wanafunzi wake wakila vyakula kwa mikono najisi, yaani, isiyonawiwa.

3 Kwa maana Mafarisayo na Wayahudi wote wasiponawa mikono mpaka kiwiko, hawali, wakishika mapokeo ya wazee wao;

4 tena wakitoka sokoni, wasipotawadha, hawali; na yako mambo mengine waliyopokea kuyashika, kama kuosha vikombe, na midumu, na vyombo vya shaba.

5 Basi wale Mafarisayo na waandishi wakamwuliza, Mbona wanafunzi wako hawaendi kwa kuyafuata mapokeo ya wazee, bali hula chakula kwa mikono najisi?

6 Akawaambia, Isaya alitabiri vema juu yenu ninyi wanafiki, kama ilivyoandikwa, Watu hawa huniheshimu kwa midomo Ila mioyo yao iko mbali nami;

7 Nao waniabudu bure, Wakifundisha mafundisho Yaliyo maagizo ya wanadamu,

8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.

9 Akawaambia, Vema! Mwaikataa amri ya Mungu mpate kuyashika mapokeo yenu.

10 Maana Musa alisema, Waheshimu baba yako na mama yako, na, Amtukanaye babaye au mamaye kufa na afe.

11 Bali ninyi husema, Mtu akimwambia babaye au mamaye, Ni Korbani, yaani, wakfu, kitu changu cho chote kikupasacho kufaidiwa nacho, huwa basi;

12 wala hammruhusu baada ya hayo kumtendea neno babaye au mamaye;

13 huku mkilitangua neno la Mungu kwa mapokeo yenu mliyopokeana; tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo.

14 Akawaita makutano tena, akawaambia, Nisikieni nyote na kufahamu.

15 Hakuna kitu kilicho nje ya mtu ambacho kikimwingia chaweza kumtia unajisi, bali vile vimtokavyo, ndivyo vimtiavyo unajisi yule mtu.

16 Mtu akiwa na masikio ya kusikilia, na asikie.]

17 Hata alipoingia nyumbani, ameuacha mkutano, wanafunzi wake wakamwuliza habari za ule mfano.

18 Akawaambia, Hivi hata ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kwamba kila kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia unajisi;

19 kwa sababu hakimwingii moyoni, ila tumboni tu; kisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.

20 Akasema, Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho unajisi.

21 Kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya, uasherati,

22 wivi, uuaji, uzinzi, tamaa mbaya, ukorofi, hila, ufisadi, kijicho, matukano, kiburi, upumbavu.

23 Haya yote yaliyo maovu yatoka ndani, nayo yamtia mtu unajisi.
 
Tumeambiwa kuna ukimwi na bado watu wanazini itakua kitimoto .... embu tuache kwanza.
1. Ukimwi upo na watu wanagegedana daily
2. Kansa ipo lakini watu wanavuta sigara daily
3. Ajali zipo, lakini tunasafiri daily.. Kwa mfano timu ya mpira wa miguu ya Zambia kasoro Kalusha yote ilizama na ndege lakini ndege zinaendelea kusafirisha watu
4. Meli zinazama, lakini tunasafiria kila siku
5. Majengo yanabomoka, lakini kila siku tunajenga.. NA DANGOTE KAJA KUTENGENEZA VIJENGEO
6. Watu wanachomana visu kila siku, laikini hatuishi kununua
7. Gesi inauwa, lakini tumezijaza majumbani
8. Umeme unauwa, lakini ngoja ukatike uone malalamiko...
9. SUmu inauwa lakini tunaitengeneza kila siku
10. etc etc

HIVYO UKITAKA USIFE KESHO, KUFA LEO KESHO HUTAKUFA
 
Wewe hata maana ya neno haramu huijuwi. Haramu ni kile ulichokatazwa.
Toka uzaliwe, mpaka umefikia umri wa kuota nywele zote, umekwisha katazwa vingapi na bado ukavifanya, na pengine kwa uthubutu wako wa kuvifanya imepelekea ukafanikiwa? Je navyenyewe ni haramu, au sehemu ya mafanikio hayo ni haramu?
 
Sijawahi kufanya nilivyoharamishiwa.
 
Kimwingiacho hakimtii mtu unajisi bali Kimtokacho mtu ndicho kimtiacho mtu unajisi Maana kitokacho hutoka moyoni

Usikiite kitu alichoumba Mungu ni najisi Maana alivyoviumba vyote alivibariki
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
 
Sasa wewe kwani unakula kitokacho? Of course kitokacho ni haramu na nguruwe ushaambiwa ni najisi. Kama hutaki wewe endelea tu kumla, si umeiona page namba moja?

120-belatung.jpg

What Eating Pork Does Inside Your Body (Video) - Health Advice Team
 
Wanapoambiwa msile nguruwe ni haramu, hata biblia imeandika hivyo, wao wamo tu.
Katika kitabu cha Mambo ya Walawi 11 ndipo utaona katazo la vitu vinavyopaswa kuliwa. (Hili ni agano la kale)
Baada ya kifo cha Yesu na ufufuko wake sheria nyingi za agano la kale ama zilibadilishwa au kufutwa.
Moja wapo ya sheria hizo ni hii ya kula nguruwe.
Na badiliko hili unalipata katika kitabu cha Matendo ya Mitume 10:9-15 (agano jipya)
"..... 12. Ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani. 13. Kisha sauti ikamjia kusema, ondoka Petro, uchinje ule. 14.Lakini Petro akasema, hasha, Bwana, kwa maana sijakula kamwe kitu kilicho kichafu au najisi. 15. Sauti ikamjia mara ya pili ikimwambia, Vilivyotakaswa na Mungu, usiviite wewe najisi."
 
Back
Top Bottom