Wakuu wapya wa wilaya kusaidia kukabiliana na nguvu ya CDM nchini-Dk Benson Bana

Nyie mnategemea Dr aliepata kwa kutumia madodoso atakuwa na upeo wa kufikiri vizuri kweli....
Hata ivo anamfurahisha mtawala..
 
Kwanza tujiandae kusikia mengi kuhusu wakuu wa wilaya wapya,hasa watakapoingia kazini,wengi wao kwakuwa ni vijana basi wanaweza kuwa wanafanya mambo ya ajabuajabu sana,,,,tukumbuke wengi ni mabachelor,lakin pia wengi watapenda kufanya kazi mbele ya media badala ya kile kinachowapasa wakifanye,lengo likiwa ni kutaka kuonekana na MKUU wao,pia mipango ya kurud kwenye majimbo in 2015;wapo ambao watakurupuka kuwatimua kazi watendaji bila sababu,wapo ambao watakorofishana na mabos wenzao kama vile wakurugenz na madiwan,,,,,,,ila wapo watakaokuwa na dharau kwa wasaidiz wao eti KISA,MKUU WA WILAYA,
LETS WAIT,safari hii si kuvuliwa mitandio,watavuliwa suruali,,,,wakaulize TANDAHIMBA
 
naamini Dr.Bana hajui kazi za mkuu wa wilaya au huenda anapotosha kwa makusudi.mkuu wa wilaya ndo m/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama ngazi ya wilaya ndo anamiliki jeshi la polisi,amri za kupiga wamachinga na vijana mbalimbali ni baraka za mkuu wa wilaya hivyo hawa wakuu wa wilaya wataongeza chuki kwa vijana dhidi ya CCM na wala sio kukisaidia chama kwani si watendaji na hawana meno kumaliza kero za wananchi.
 
Kwani Chadema vijana wote wanaowafuata mnawapa nini zaidi ya matumaini ya uongo. Madc wapya waandalie vijana wenzenu taratibu za kujiajiri wenyewe badala kuwaacha wanzagaa wakisubiri matumaini hewa toka Chadema .
kuna tofauti kubwa aina ya wanasiasa vijana waliopo CCM na CDM. Huwezi linganisha vijana wasiokua na vipaji vya uongozi,wanaobebwa na wazazi wao na mfumo mbovu kutoka CCM na vijana wenye vipaji vya uongozi na ushawishi ktk jamii kutoka CDM!
 
Nafikiri ni nidham ya uwoga,,,,hilo ndo tatizo,,,,si kweli kwamba hawawez kupambanua
kuna tofauti kubwa aina ya wanasiasa vijana waliopo CCM na CDM. Huwezi linganisha vijana wasiokua na vipaji vya uongozi,wanaobebwa na wazazi wao na mfumo mbovu kutoka CCM na vijana wenye vipaji vya uongozi na ushawishi ktk jamii kutoka CDM!
 
Hive huyu Bana mbona anadhililisha wasomi wa vyuo vikuu?

ukitaka uchambuzi,,,msikilize au msome BASHIRU ALLY,,,,,HUWA YUPO FRANK,HAIJALISH ANAZUNGUMZIA NINI,,,,,NADHAN AKINA SHIVJI NA MAREHEM HAROUB OTHMAN WALIMPIKA,,,,INGAWA BASHIRU ALIKUA CHINI YA UANGALIZI WA MKANDALA ILA HE'S ALWAYS FARNKLY
 
Huyu Bana SIJABAHATIKA KUMUONA KWA SURA!! Ila nadhan ni moja ya watu Wasomi Ninaowadharau sana Katika Kipindi hiki!! Sasa hapa Kaisadia ccm au Kaiua? Wale ni wakuu wa wilaya na sio Wenyeviti wa CCM Wilaya!! sasa Hata hili Msomi Mzima Hajui?
 
Ulitarajia nini kwa Bana zaidi ya kujikomba kwa wakubwa? Ukuu wa wilaya ni mzigo kwa Taifa tunapaswa kuufuta kwenye katiba mpya DAS na Mkurugenzi wanatosha kabisa kwenye uwajibikaji wa kazi za wilaya kila siku.

Hata Das hatakiwi, kwani ana kazi gani? Pia RAS ana kazi gani? kwa ujumla ofisi za mkuu wa mkoa na wilaya hazitakiwi kuwepo.
 
Huyu mhaya ana matatizo kweli, amewahi kunifundisha nikiwa pale udsm, miaka yote mitatu nilikutana nae... he has a serious problem, hypocrisy, ver mnafiki. lwani maDC ni wangapi, si 133, sasa hao wanaweza kushindana na vijana wa CDM kutoka kaya 3. PIA AKUMBUKE walioteuliwa sio tishio, wala hawana impact au ushawishi kwa vijana....haiwezi kuwa suluhisho ya CCM kwa CDM. huyu anajiita political analyst, lakini analysis zake zina mapungufu sana, hasa anapojaribu kuegemea upande mmoja. Dr. Ndumbaro, ambaye kwa sasa ndio mshauri mkuu wa kisiasa wa JK, Mkapa alimteu na hakuwa mnafiki, kila mara alimsahihisha pale bwana mkubwa alipokosea, mpaka akafukuzwa, akarudi kushika chaki udsm, na akaendelea kuiponda system bila kificho, JK karudi kamteua tena, sasa huyu unafiki wa nn! kama hawezi analysis awaachie wahadhiri wachanga hapo idarani, ambao wa upeo mkubwa kuliko yeye... Bwana. Richard Mbunda, Kelvim Munisi, Makulilo, hata Dr. Kamata, ni wazurI kuliko yeye katika analysis, kwa maana ya kutoihofia system, au kutokutegemea chochote toka kwa JK , NDIO WELEDI huo
 
Sidhani kama huyu dkt. bana ana upeo wa kueleweka. ipo cku...

Hivi Dkt.Bana anawapa waandishi wa habari fedha ili kila kitu wamuulize yeye au? Mbona ile idara ina wataalamu wengi wazuri wa kuchambua mambo? Naona anazidi kuonyesha kuwa vyeo vya DC vinapaswa kuondolewa maana hawa wanalipwa mishahara na serikali ili hali kazi zao ni kujenga chama.
 
Kwa mantiki hiyo u-DC ni cheo cha CCM, ndio maana hatuwataki katika mchakato wa katiba.
 
Kwani Chadema vijana wote wanaowafuata mnawapa nini zaidi ya matumaini ya uongo. Madc wapya waandalie vijana wenzenu taratibu za kujiajiri wenyewe badala kuwaacha wanzagaa wakisubiri matumaini hewa toka Chadema .

Huyu nae katokea wapi!!!!!!!!!!!!!! kaacha kunyonyesha anakuja jf kutuletea ujinga huu.
GAMBA GAMBA GAMBA GAMBA GAMBA GAMBA GAMBA GAMBA GAMBA.
 
Back
Top Bottom