Wakuu wapi naweza kuflash simu yangu ya BB

FredKavishe

JF-Expert Member
Dec 4, 2010
1,090
318
Nimetumiwa simu kutoka us tatzo haisomi laini zetu hapa bongo msaada wenu wakuu wapi naweza kuiflash isome laini za tz
 
Nimetumiwa simu kutoka us tatzo haisomi laini zetu hapa bongo msaada wenu wakuu wapi naweza kuiflash isome laini za tz
mkuu nenda hapa www.freemyblackberry.com.
wana service mbili yakulipia unapata code ndani ya masaa 3 na ya free unapata code ndani ya masaa 24.
kama kaumombo kanapanda na mtundu kidogo ni rahisi sana kwa huduma ya masaa 24, unachotakiwa kufanya ni kufuata maelekezo ya namna unatakiwa kuprovide information za bb yako kwa kujaza fomu flani kisha jamaa watakutumia code ndani ya masaa 24.
ukitulia ni rahisi sana, nimeshatoa lock bb zaidi ya 10 kupitia hii site
 
Hiyo simu yako imelokiwa na kampuni gani?Maana sio kila kampuni unaweza ukatoa lock hata uwende sapna wanaweza wakashindwa.
 
Back
Top Bottom