Wakuu wa Wilaya wapya: Majina yavuja!

kaka uko negative na kila mtu mno.
una maana slaa akitawala atafuta vyeo vyote au ni ulevi tu wa CDM.
Au ndiyo hizo ndoto zenu kuwa kila kitu kitakuwa safi hadi TRA kukusanya 100% ili mishahara iwe kama ulaya.
Slaa atatawala kupitia ccm siyo cdm tena maana cdm alishatimuliwa kwa usaliti
 
Kuna dalili uteuzi umechelewa kwa kuwa serikali haina fedha, maana nijuavyo mimi kila
kipindi cha uongozi wa Rais unapoisha ukuu wa Wilaya na ukuu wa mkoa nao unapaswa kuisha na hulipwa mafao
yote, then wanateuliwa wengine au haohao kwa mkataba mpya
hivyo hizo zote ni gharama za serikali
Ukisema hayo maneno lizaboni tumbo moto maana hana uhakika na kibarua
 
Kitendawili cha wakuu wa Wilaya kinateguliwa lini? maana tokea nimesoma kwenye gazeti la Tanzania Daima kuwa majina yamevuja mpaka sasa imekuwa kimya.

Ingawa kulikuwa na tetesi kuwa baada ya miaka 50 ya uhuru watatangazwa wapya, nimeandika ivyo kwa kuwa kwetu hatuna uyo mtu karibia mwaka mzima!

Majina yanavuja vipi wakati mtu anaandika majina kwa mkono na kutembea nayo kwenye koti
 
mkuu kama jambo hulijui ni heri kukaa kimya. vinginevyo utakuwa unaleta kichefuchefu tu!
Acha masikhara basi. Ina maana hujaona mantiki ya swali lake? Au wewe ndo hujui?
Ameuliza kazi za Katibu Tawala na pia Afisa Tawala ni zipi? Kosa lake liko wapi hapo? Msaidie majibu kama wajua. Kumsimanga haileti maana hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom