Wakuu wa Wilaya wapya: Majina yavuja!

Kuna dalili uteuzi umechelewa kwa kuwa serikali haina fedha, maana nijuavyo mimi kila
kipindi cha uongozi wa Rais unapoisha ukuu wa Wilaya na ukuu wa mkoa nao unapaswa kuisha na hulipwa mafao
yote, then wanateuliwa wengine au haohao kwa mkataba mpya
hivyo hizo zote ni gharama za serikali
 
Mkuu nilipoona thread hii, nilidhani majina yaliyovuja unayo kumbe hamna kitu! Kwa heli !
 
Kuna dalili uteuzi umechelewa kwa kuwa serikali haina fedha, maana nijuavyo mimi kila
kipindi cha uongozi wa Rais unapoisha ukuu wa Wilaya na ukuu wa mkoa nao unapaswa kuisha na hulipwa mafao
yote, then wanateuliwa wengine au haohao kwa mkataba mpya
hivyo hizo zote ni gharama za serikali

Mkulo alisema nchi haijafirisika ina fedha ya kutosha, iyo si sababu
 
kitendawili cha wakuu wa wilaya kinateguliwa lini? maana tokea nimesoma kwenye gazeti la tanzania daima kuwa majina yamevuja mpaka sasa imekuwa kmya! ingawa kulikuwa na tetesi kuwa baada ya miaka 50 ya uhuru watatangazwa wapya, nimeandika ivyo kwa kuwa kwetu hatuna uyo mtu karibia mwaka mzma!

Yalikuwa majungu tu hayo!
 
mkuu,wakuu wa wilaya tunawahitaji sana,sehemu ambazo umesema hakuna mkuu wa wilaya kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa na kazi zinakwenda,ni kwamba alikuwepo mkuu wa wilaya ya jirani ambaye anakaimu nafasi hiyo.Ipo NGO mmoja inatakiwa kupata fedha kiasi cha paund laki moja kutoka kwa wafadhili lakini wamekataa kutoa fedha hadi nyaraka zisainiwe na mkuu wa wilaya mwenyewe na si kaimu na wilaya yetu ina kaimu mkuu wa wilaya na muda walioutoa as grace period unakwisha Januari 10,2012 vinginevyo fedha itapangiwa matumizi mengine.kwa mfano ktk wilaya ya Bagamoyo aliyekuwa mkuu wa wilaya alifichua ubadhirifu mkubwa uliofanywa na viongozi wa halmashauri ya bagamoyo na kesi yao inaendelea walikaa lockup kwa zaidi ya miezi nane kutokana na jitihada za DC .hivyo mkuu sasa afanye haraka kuteua shughuli ziendelee
Mkuu hilo suala la Bagamoyo lililipuka kwa sababu pale halmashauri walikuwa hawaelewani viongozi waliokuwepo, yaani mweka hazina alikuwa mwizi kwa 100% halafu afisa mipango alikuwa mtu safi na mwadilifu tena sana, sasa afisa mipango alikuwa hawezi kutekeleza mipango mingi kutokana na kunyimwa hela na mweka hazina, ikawa afisa mipango akimueleza mkurugenzi, mkurugenzi anayeyusha, hapo ufahamu pia mkurugenzi alikuwa mtu safi ila mweka hazina ndiye alikuwa anawazunguka, anaenda kwa mkurugenzi anamwambia afisa mipango hafanyi kazi na kumchongea majungu kibao, mkurgenzi anakubali ya mweka hazina, hivyo aafisa mipango akipeleka kilio chake kwa mkurugenzi anaambiwa ni mzembe hafanyi kazi na hasikilizwi, sasa alipokuja mkuu mpya wa wilaya, afisa mipango ikabidi amweleze moja kwa moja na ndipo zali lilipoanzia kwa kuanza na kuibiwa laptop ya afisa mipango, na baadaye walivyochunguza zaidi wakagundua kuwa miradi mingi pia ilikuwa ni hewa, pia mkuu wa wilaya alimshauri mkurugenzi amfute kazi mweka hazina lakini akawa na kibuli kutokana na kudanganywa na mweka hazina, kwa hiyo mkuu wa wilaya akaamua kulisanua kwa rais ndiyo mambo yakawa hivyo.
 
umeona umuhimu wa mkuu wa wilaya?
 
Hawana kazi wala faida kwa Taifa. Ni mzigo kwa taifa, hatuwahitaji kabisa.
 
Mkuu bila wao kufuatilia mambo ya maendeleo uko vjijini mambo hayaendi, kwa sisi ambao tupo vjjn lakini, ingawa ningependelea mkuu wa wilaya tuwe tunawapata kwa kuwapigia kura au kuwafanyia interview na c kuchaguliwa na rais

Wewe una Mkugurugenzi wa maendeleo wa wialaya mwenye sifa na uwezo sahihi na una OCD mwenye weledi na uadilifu, hata ukiachana na watu kama wenyeviti wa halmashauri za wilaya na wabunge ambao sifa na uwezo wao wanaujuaga wao wenyewe na ni wachache unaoewza kuwapima kwenye mzani wakasomeka. Ni maendeleo gani ambayo yanamfuat DC tu ambayo hao viongozi wawili hapo juu hawawezi kuyaratibu na kuyasimamia?
 
Kitendawili cha wakuu wa Wilaya kinateguliwa lini? maana tokea nimesoma kwenye gazeti la Tanzania Daima kuwa majina yamevuja mpaka sasa imekuwa kimya.

Ingawa kulikuwa na tetesi kuwa baada ya miaka 50 ya uhuru watatangazwa wapya, nimeandika ivyo kwa kuwa kwetu hatuna uyo mtu karibia mwaka mzima!
Kwenu wapi hamna huyo mtu? Mbona mna raha kabisa?
 
Hicho cheo ni ZAWADI au kwa maneno mengine ni ASANTE. Sasa ndugu yangu wewe umemfanyia nini kikwete? Kama hakuna ulichomfanyia, usipoteze muda kuota ndoto za abunuwasi.
Kumbe inabidi kumfanyia kitu mukubwa ndio unapewa ako ka cheo?
 
Du CCM hatari yahani mwaka mzima ninachokisikia kila kukicha ni uteuzi wa viongozi tu, mara wakuu wa wilaya, mikoa, nk. Lakini nisiseme sana pengine inawezekana hiyo ndo sera ya chama tawala.
Haswaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom