Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

Smile -Kibaha
PakaJimmy-Mkuranga
Katavi-Sumbawanga
Madame B-Same
Angel Msoffe-Mwanga
Amyner-Lushoto
Kabakabana-Ukerewe
Asprin-Kongwa
Boflo- Kasulu
Judgement-Tabora.
Mamndenyi- Korogwe.
Yummy-Meatu
Husninyo--Hai.

Wote walioteuliwa wataapishwa wiki ijayo.. Wataanza kazi mara moja.
Mkuu nashukuru kwa uteuzi, japokuwa sijaelewa kama ni takrima kutokana na ule mkopo wa 5M tuliokukopesha JE SACCOS au vp!
Ila mkubwa, Wilaya ya Mkuranga uliyonipa hainifai, hii ungempa ritz au Mamaporojo, naomba kujiuzulu, kama rafiki yangu mkuu wa Wilaya ya Mbozi huko Mbeya.
 
Last edited by a moderator:
nani kapelekwa tandahimba? hakikisha unampa mtatiro
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nashukuru kwa uteuzi, japokuwa sijaelewa kama ni takrima kutokana na ule mkopo wa 5M tuliokukopesha JE SACCOS au vp!
Ila mkubwa, Wilaya ya Mkuranga uliyonipa hainifai, hii ungempa ritz au Mamaporojo, naomba kujiuzulu, kama rafiki yangu mkuu wa Wilaya ya Mbozi huko Mbeya.
Hahhaaaaa PJ umekuwa mfano wa kuigwa....
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nashukuru kwa uteuzi, japokuwa sijaelewa kama ni takrima kutokana na ule mkopo wa 5M tuliokukopesha JE SACCOS au vp!
Ila mkubwa, Wilaya ya Mkuranga uliyonipa hainifai, hii ungempa ritz au Mamaporojo, naomba kujiuzulu, kama rafiki yangu mkuu wa Wilaya ya Mbozi huko Mbeya.

Nakupeleka ukaimarishe M4C. Sikubali ombi lako la kujiuzulu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nashukuru kwa uteuzi, japokuwa sijaelewa kama ni takrima kutokana na ule mkopo wa 5M tuliokukopesha JE SACCOS au vp!Ila mkubwa, Wilaya ya Mkuranga uliyonipa hainifai, hii ungempa ritz au Mamaporojo, naomba kujiuzulu, kama rafiki yangu mkuu wa Wilaya ya Mbozi huko Mbeya.
Usinikumbushe maneno ya Abas Kandolo in response towards maamuzi ya mkuu wa wilaya ya Mbozi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom