Wakuu wa Wilaya kutangazwa leo

Tutarajie baadh ya wahadhir wa vyuo vikuu kama Dr nchimbi watatajwa,,,maana yule mama alikua mwalim mzuri sana idara ya historia UDSM,ba rizi moja kam'beba
 
Last edited by a moderator:
Msaidie usimfanyie ukatili kama watumish wa umma walivyo na majibu ya ajabu

Hapo kwenye bold na red umeamsha sana machungu yangu dhidi ya hawa watu,,so akiteuliwa mtu ambaye hakuwa na itikadi za ccm lets say chadema,udp nk inabidi sasa awe mwana magamba,,ataongozaje kamati ya ccm ya wilaya? automatically dc c mkubwa na mwongoza vikao vya ccm kwa ngazi yake??
 
naona mnahangsiks kweli hawa hapa


MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA
VITUO VYAO VYA KAZI
NA.KITUO CHA KAZI
1.Novatus MakungaHai
2.Mboni M. MgazaMkinga
3.Hanifa M. SelunguSikonge
4.Christine S. MndemeHanang
5.Shaibu I. NdemangaMwanga
6.Chrispin T. MeelaRungwe
7.Dr. Nasoro Ali HamidiLindi
8.Farida S. MgomiMasasi
9.Jeremba D. MunasaArumeru
10.Majid Hemed MwangaLushoto
11Mrisho GamboKorogwe
12.Elias C. J. TarimoKilosa
13.Alfred E. MsovellaKiteto
14.Dkt. Leticia M. WariobaIringa
15.Dkt. Michael Yunia KadegheMbozi
16.Mrs. Karen Yunus Sengerema
17.Hassan E. MasalaKilombero
18.Bituni A. MsangiNzega
19.Ephraem Mfingi MmbagaLiwale
20.Antony J. MtakaMvomero
21.Herman Clement KapufiSame
22.Magareth Esther Malenga Kyela
23.Chande Bakari NalichoTunduru
24.Fatuma H. ToufiqManyoni
25.Seleman LiwowaKilindi
26.Josephine R. MatiroMakete
27.Gerald J. Guninita Kilolo
28.Senyi S. NgagaMbinga
29.Mary TeshaUkerewe
30.Rodrick MpogoloChato
31.Christopher MagalaNewala
32.Paza T. MwamlimaMpanda
33.Richard MbehoBiharamulo
34.Jacqueline LianaMagu
35.Joshua MirumbeBunda
36.Constantine J. KanyasuNgara
37.Yahya E. NawandaIramba
38.Ulega H. AbadallahKilwa
39.Paul MzindakayaBusega (mpya)
40.Festo KiswagaNanyumbu
41.Wilman Kapenjama Ndile Mtwara
42.Joseph Joseph MkirikitiSongea
43.Ponsiano NyamiTandahimba
44.Elibariki Immanuel KinguKisarawe
45.Suleiman O. KumchayaTabora
46.Dkt. Charles O. F. MlingwaSiha
47.Manju MsambyaIkungi (mpya)
48.Omar S. Kwaangw'Kondoa
49.Venance M. MwamotoKibondo
50.Benson MpesyaKahama
51.Daudi Felix NtibendaKaratu
52.Ramadhani A. ManenoKigoma
53.Sauda S. MtondooRufiji
54.Gulamhusein KifuMbarali
55.Esterina KilasiWanging'ombe (mpya)
56.Subira MgaluMuheza
57.Martha UmbulaKongwa
58.Rosemary KiriginiMeatu
59.Agness HokororoRuangwa
60.Regina Chonjo Nachingwea
61.Ahmed R. Kipozi Bagamoyo
62.Wilson Elisha Nkhambaku Kishapu
63.Amani K. Mwenegoha Bukombe
64.Hafsa M. Mtasiwa Pangani
65.Rosemary Staki Senyamule Ileje
66.Selemani Mzee Selemani Kwimba
67.Lt. Col. Ngemela E. Lubinga Mlele (mpya)
68.Iddi Kimanta Nkasi
69.Muhingo Rweyemamu Handeni
70.Lucy Mayenga Uyui


MAJINA 63 WAKUU WA WILAYA WA ZAMANI NA
VITUO VYAO VYA KAZI

NA.JINAKITUO CHA KAZI
1.James K. O. MillyaLongido
2.Mathew S. SedoyekaSumbawanga
3.Fatuma L. KimarioIgunga
4.Capt. (Mst.) James C. YamunguSerengeti
5.Lt. (Mst.) Abdallah A. KihatoMaswa
6.Sarah DumbaNjombe
7.Jowika W. KasungaMonduli
8.Elizabeth C. MkwasaBahi
9.Col. Issa E. NjikuMisenyi
10.John B. HenjeweleTarime
11.Elias W. LaliNgorongoro
12.Raymond H. MushiIlala
13.Francis MitiUlanga
14.Evarista N. KalaluMufindi
15.Mariam S. LugailaMisungwi
16.Anna J. MagowaUrambo
17.Anatory K. ChoyaMbulu
18.Fatma Salum AllyChamwino
19.Deodatus L. KinawiroChunya
20.Ibrahim W. MarwaNyang'hwale (mpya)
21.Dkt. Norman A. SigallaMbeya
22.Moshi M. Chang'aMkalama (mpya)
23.Jordan M. RugimbanaKinondoni
24.Georgina E. BundalaItilima (mpya)
25.Halima M. KihembaKibaha
26.Manzie O. MangochieGeita
27.Abdula S. LutaviNamtumbo
28.Zipporah L. PanganiBukoba
29.Dkt. Ibrahim H. MsengiMoshi
30.Col. Cosmas KayomboKakonko (mpya)
31.Lembris M. KipuyoMuleba
32.Elinasi A. PallangyoRombo
33.Queen M. MloziSingida
34.Juma S. MadahaLudewa
35.Angelina MabulaButiama (mpya)
36.Hadija H. NyemboUvinza (mpya)
37.Ernest N. KahindiNyasa (mpya)
38.Peter T. KiroyaSimanjiro
39.John V. K. MongellaArusha
40.Baraka M. KonisagaNyamagana
41.Husna MwilimaMbogwe (mpya)
42.Sophia E. MjemaTemeke
43.Francis IsaacChemba (mpya)
44.Abihudi M. SaideyaMomba (mpya)
45.Khalid J. MandiaBabati
46.Anna Rose NyamubiShinyanga
47.Dani B. MakangaKasulu
48.Amina J. MasenzaIlemela
49.Mercy E. SillaMkuranga
50.Christopher R. KangoyeMpwapwa
51.Lt. Edward O. LengaKalambo (mpya)
52.Halima O. DendegoTanga
53.Lephy B. GembeDodoma
54.Saidi A. AmanziMorogoro
55.Jackson W. MsomeMusoma
56.Elias C. B. GoroiRorya
57.Lt. Col. Benedict KitengaKyerwa (mpya)
58.Erasto SimaBariadi
59.Nurdin H. BabuMafia
60.Khanifa M. KaramagiGairo (mpya)
61.Gishuli M. CharlesBuhigwe (mpya)
62.Saveli M. MakettaKaliua (mpya)
63.Darry RwegasiraKaragwe




OFISI YA WAZIRI MKUU,
DAR ES SALAAM.

9 MEI 2012
 
fix wakuu wa wilaya hawawezi tangazwa na Pinda, kwani Baba Riz1 ameishaanza kumwamini PM? kanuni iliyotumika kwa Jairo na akina Mkulo, Chami, Nundu, etc itaendelea kutumika tu!

Inasomeka pia kwenye mtandao wa mwananchi kama ifuatavyo:

Wakuu wa wilaya wapya kutangazwa leo
Wednesday, 09 May 2012 13:54


Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza orodha mpya ya wakuu wa wilaya wakati wowote kuanzia sasa
 
aisee hata siamini, ni wengi sana, wapo 136+ piga thamani ya magari, gharama za uhamisho, etc. Linganisha madarasa mangapi yangekuwa yamejengwa?
 
MAJINA YA WAKUU WA WILAYA WAPYA 70 NA VITUO VYAO VYA KAZI:
1. Novatus Makunga -Hai
2. Mboni M. Mgaza- Mkinga
3. Hanifa M. Selungu -Sikonge
4. Christine S. Mndeme- Hanang
5. Shaibu I. Ndemanga -Mwanga
6. Chrispin T. Meela -Rungwe
7. Dr. Nasoro Ali Hamidi -Lindi
8. Farida S. Mgomi -Masasi
9. Jeremba D. Munasa- Arumeru
10. Majid Hemed Mwanga -Lushoto
11 Mrisho Gambo- Korogwe
12. Elias C. J. Tarimo -Kilosa
13. Alfred E. Msovella -Kiteto
14. Dkt. Leticia M. Warioba -Iringa
15. Dkt. Michael Yunia Kadeghe- Mbozi
16. Mrs. Karen Yunus -Sengerema
17. Hassan E. Masala -Kilombero
18. Bituni A. Msangi -Nzega
19. Ephraem Mfingi Mmbaga -Liwale
20. Antony J. Mtaka- Mvomero
21. Herman Clement Kapufi -Same
22. Magareth Esther Malenga -Kyela
23. Chande Bakari Nalicho -Tunduru
24. Fatuma H. Toufiq -Manyoni
25. Seleman Liwowa -Kilindi
26. Josephine R. Matiro- Makete
27. Gerald J. Guninita -Kilolo
28. Senyi S. Ngaga- Mbinga
29. Mary Tesha -Ukerewe
30. Rodrick Mpogolo -Chato
31. Christopher Magala -Newala
32. Paza T. Mwamlima Mpanda
33. Richard Mbeho- Biharamulo
34. Jacqueline Liana - Magu
35. Joshua Mirumbe - Bunda
36. Constantine J. Kanyasu -Ngara
37. Yahya E. Nawanda -Iramba
38. Ulega H. Abadallah -Kilwa
39. Paul Mzindakaya -Busega (mpya)
40. Festo Kiswaga -Nanyumbu
41. Wilman Kapenjama Ndile -Mtwara
42. Joseph Joseph Mkirikiti -Songea
43. Ponsiano Nyami -Tandahimba
44. Elibariki Immanuel Kingu -Kisarawe
45. Suleiman O. Kumchaya -Tabora
46. Dkt. Charles O. F. Mlingwa -Siha
47. Manju Msambya Ikungi- (mpya)
48. Omar S. Kwaangw' -Kondoa
49. Venance M. Mwamoto -Kibondo
50. Benson Mpesya -Kahama
51. Daudi Felix Ntibenda- Karatu
52. Ramadhani A. Maneno- Kigoma
53. Sauda S. Mtondoo -Rufiji
54. Gulamhusein Kifu -Mbarali
55. Esterina Kilasi -Wanging'ombe (mpya)
56. Subira Mgalu -Muheza
57. Martha Umbula- Kongwa
58. Rosemary Kirigini -Meatu
59. Agness Hokororo -Ruangwa
60. Regina Chonjo -Nachingwea
61. Ahmed R. Kipozi -Bagamoyo
62. Wilson Elisha Nkhambaku -Kishapu
63. Amani K. Mwenegoha- Bukombe
64. Hafsa M. Mtasiwa -Pangani
65. Rosemary Staki Senyamule- Ileje
66. Selemani Mzee Selemani -Kwimba
67. Lt. Col. Ngemela E. Lubinga Mlele -(mpya)
68. Iddi Kimanta -Nkasi
69. Muhingo Rweyemamu -Handeni
70. Lucy Mayenga- Uyui
 
MAJINA 63 WAKUU WA WILAYA WA ZAMANI NA
VITUO VYAO VYA KAZI
NA. JINA KITUO CHA KAZI
1. James K. O. Millya Longido
2. Mathew S. Sedoyeka Sumbawanga
3. Fatuma L. Kimario Igunga
4. Capt. (Mst.) James C. Yamungu Serengeti
5. Lt. (Mst.) Abdallah A. Kihato Maswa
6. Sarah Dumba Njombe
7. Jowika W. Kasunga Monduli
8. Elizabeth C. Mkwasa Bahi
9. Col. Issa E. Njiku Misenyi
10. John B. Henjewele Tarime
11. Elias W. Lali Ngorongoro
12. Raymond H. Mushi Ilala
13. Francis Miti Ulanga
14. Evarista N. Kalalu Mufindi
15. Mariam S. Lugaila Misungwi
16. Anna J. Magowa Urambo
17. Anatory K. Choya Mbulu
18. Fatma Salum Ally Chamwino
19. Deodatus L. Kinawiro Chunya
20. Ibrahim W. Marwa Nyang'hwale (mpya)
21. Dkt. Norman A. Sigalla Mbeya
22. Moshi M. Chang'a Mkalama (mpya)
23. Jordan M. Rugimbana Kinondoni
24. Georgina E. Bundala Itilima (mpya)
25. Halima M. Kihemba Kibaha
26. Manzie O. Mangochie Geita
27. Abdula S. Lutavi Namtumbo
28. Zipporah L. Pangani Bukoba
29. Dkt. Ibrahim H. Msengi Moshi
30. Col. Cosmas Kayombo Kakonko (mpya)
31. Lembris M. Kipuyo Muleba
32. Elinasi A. Pallangyo Rombo
33. Queen M. Mlozi Singida
34. Juma S. Madaha Ludewa
35. Angelina Mabula Butiama (mpya)
36. Hadija H. Nyembo Uvinza (mpya)
37. Ernest N. Kahindi Nyasa (mpya)
38. Peter T. Kiroya Simanjiro
39. John V. K. Mongella Arusha
40. Baraka M. Konisaga Nyamagana
41. Husna Mwilima Mbogwe (mpya)
42. Sophia E. Mjema Temeke
43. Francis Isaac Chemba (mpya)
44. Abihudi M. Saideya Momba (mpya)
45. Khalid J. Mandia Babati
46. Anna Rose Nyamubi Shinyanga
47. Dani B. Makanga Kasulu
48. Amina J. Masenza Ilemela
49. Mercy E. Silla Mkuranga
50. Christopher R. Kangoye Mpwapwa
51. Lt. Edward O. Lenga Kalambo (mpya)
52. Halima O. Dendego Tanga
53. Lephy B. Gembe Dodoma
54. Saidi A. Amanzi Morogoro
55. Jackson W. Msome Musoma
56. Elias C. B. Goroi Rorya
57. Lt. Col. Benedict Kitenga Kyerwa (mpya)
58. Erasto Sima Bariadi
59. Nurdin H. Babu Mafia
60. Khanifa M. Karamagi Gairo (mpya)
61. Gishuli M. Charles Buhigwe (mpya)
62. Saveli M. Maketta Kaliua (mpya)
63. Darry Rwegasira Karagwe





OFISI YA WAZIRI MKUU,
DAR ES SALAAM.

9 MEI 2012
 
Acha hizo wewe Rais yuko Ethiopia Waziri Mkuu hana madaraka ya kikatiba kutangaza wakuu wa wilaya.

Wapi chanzo cha taarifa yako?......Udaku street!!!!!!!!!!!

Mkuu kwa leo katiba imevunjwa kwa waziri mkuu kutangaza wakuu wa wilaya?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom