Wakuu wa Mikoa Bungeni wiki nzima!

BIG Banned

JF-Expert Member
May 4, 2012
262
71
Hawa wakuu wa mikoa bungeni wiki nzima wanafanya nini!!, hawana kazi za kufanya!!. Haya sio matumizi mabaya ya pesa na muda kwa umma!!. Mheshimiwa wenje alilipua hili leo bungeni na alinikuna kweli wakati anawalipua.
 
Jamani CCM Futeni hiki cheo mbona hamtusikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii achen kubebana bana wanachangia nini hao wakuu wa mikoa kama sio kuleta umbea tu utawasikia mara ooo mkurugenzi wangu hafanyi kaz kabisa mara madiwan wangu wabishi upuuz mtupu
 
"Asiyejua maana haambiwi maana"
Ukiomba kazi baadhi ya ofisi za UN, balozi mbalimbali na makampuni binafsi,hawapendi watu waliofanya kazi serikalini.Ni kwasababu ya sifa kuu tatu:
1:Uvivu
2:Rushwa
3:Majungu
 
hivi wakuu wa mikoa dodoma wana kazi gani kwa wiki nzima na wanatumia sh ngapi.?
 
"Asiyejua maana haambiwi maana"
Ukiomba kazi baadhi ya ofisi za UN, balozi mbalimbali na makampuni binafsi,hawapendi watu waliofanya kazi serikalini.Ni kwasababu ya sifa kuu tatu:
1:Uvivu
2:Rushwa
3:Majungu

ya pili na ya tatu ndo kila mfanyakazi anaifanya sasa Comrade na hii mitandao ya kijamii ndo imeongeza uvivu yaani wafanyakazi wanashinda wakipiga umbea kwenye face book tu hakuna kitu wapuuz kabisa hawa
 
Hiyo ndio TZ bwana, Viongozi wanajiachia tu.., wanafurahia kukopa tu.
 
Back
Top Bottom