Wakuu Ubalozi wa UK na US Tanzania huwa wanafanya Vetting?

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Wakuu hawa jamaa nilifika Oral za interview zao lakini nikiwa sipo home nipo kwenye mishe zangu walikuja watu kwa Muda tofauti nyumbani kwetu wakiulizia akiwemo raia mmoja wa kigeni ninapokaa bila kujitambulisha wakauliza Niko wapi kwa sasa nimesoma shule gani? I am worried sina uhakika kama ndo wao au?

Kama kuna yoyote ashee experience zile Postal Code ambazo tunazijaza kwenye application naona ndo sababu data zinakua open hivi.
 
Umewahi kuharibu mkuu? Hawa watu wanafuatilia kila kitu kuhusu wewe. Kama mtaani wewe ni mkorofi na mbabe imekula kwako
 
Back
Top Bottom