Wakuu tukumbushane vifo hivi & kuumwa:walidai haki za Watanzania

Dr. omary juma(aliyekua makam wa rais)inasemekana kuna gari lilipeleka silaha kongo kumbe kukiwa na mihuri yake ya makam wa rais kumbe ilikua miradi ya aliyekua mkuu wa majeshi kipindi hicho mboma kama sikosei ss kichwa kilimuuma kwa mawazo maana alikua anatakiwa ajibu kwa mkapa kupiga mihuri ile shehene ya silaha kuwa imetoka serikali ya bongo kumbe biashara ya watu,mawazo ndo yalimtoa uhai

silaha au mafuta??
 
ajali ya kawaida ipoje,mkuu?namba 6 aliugua,aliugua nini,mbona mnatoa taarifa nusu nusu? Pale namba 4,inadhihirisha wazi kuwa watendaji wenu wasivyo makini.
malima rekebisha .serikali ilitaifisha au freeze akaunti yake ng,ambo akapata mshtuko akapoteza uhai
 
true dat!

kighoma malima alikuwa waziri wa fedha enzi za utawala wa mzee mwinyi alibainika kuwa na kiasi kikubwa cha fedha nchi za nje wakati huo serikali inatembeza bakuli kwa wahisani wakaumbuliwa kuwa kuna jamaa yenu mbona akaunti yake ina vijisenti vya kutosha ,tetesi zilipomfikia malima akaenda kuhakikisha kama ni kweli serikali imetaifisha pesa zote .mzee presha ikapanda akapoteza maisha
 
Huyu ndo babake na naibu waziri wa nishati na madini au ni majina tu yanafanana?

kighoma malima alikuwa waziri wa fedha enzi za utawala wa mzee mwinyi alibainika kuwa na kiasi kikubwa cha fedha nchi za nje wakati huo serikali inatembeza bakuli kwa wahisani wakaumbuliwa kuwa kuna jamaa yenu mbona akaunti yake ina vijisenti vya kutosha ,tetesi zilipomfikia malima akaenda kuhakikisha kama ni kweli serikali imetaifisha pesa zote .mzee presha ikapanda akapoteza maisha
 
1.Sokoine - Ajali baada ya kugongwa na Dumisan Dube
2.Kolimba - Mshituko wa moyo - CCM haina vision kumbe ina vision
3.Malima - Mshituko wa Moyo - Baada ya kugundua kwamba NRA haina uwezo wa kumwingiza ikulu
4.Kombe - Mistaken identity baada ya kufananishwa na white
5.Nyerere - Aliugua Leukemia na kila mtu analijua hili
6.Chifupa - Aliugua
7.Salome - Ajali ya kawaida huko Njombe

Mkuu hiyo namba tatu umekwenda mchomo kweli. ****** alifunga akaunti zake za nje alikolimbikiza mihela yake ili aitumie kukiimarisha NRA. Hata unaibu waziri alompa mwanaye ni ktk suala zima la kumpooza machungu dogo kutokana na ****** kuwa ndiyo aliyebonyeza red button ilopelekea dingi wa mshikaji kukata kamba
 
Mkuu mambo mengine huwa tunatumia tafsida! Nadhani umeona connection hapo. Hivi asingeenda NRA yangempata hayo uliyoyasema mkuu!
 
History has documented the horrific demise of an outstanding investigative journal of the defunct Mfanyakazi newspaper in early 1990s Stan Katabalo who sacrificed his spirit for the right course of this ailing nation but whose life ended up in the hands of anti-progress elements who are believed to have commissioned his manslaughter by armed banditry committed in a night raid of his Buguruni residence. The ecosystem agenda he took aloft during his last days now reveals wanton degradation and pouching to an alarming stage and has of recent sparked anger of the indigenous people in those locales.

Nimekipenda 'kithungu' chako mkuu, uko juu. Walahi mkuu unaweza kualikwa kunywa gahawa/chai na malkia aisee
 
Profesa Nickas Mahinda alikuwa mbunge wa morogoro enzi za mzee mkapa,alivamiwa usiku na 'majambaz' akapigwa risasi then hawakuchukua hata pensel,then tukaambiwa ni majambazi!!!
 
Unawajua vigogo wa madawa ya kulevya wa nchi hii na nguvu waliyonayo? Ali mess with their interest, waka m silence yeye na mumewe. Watoto wao lazima waje kulipa kisasi, Time will tell.
kwahiyo jamaa wa madawa wana uwezo wa kukupa HIV ukiwa na kidomodomo?
 
Nimekipenda 'kithungu' chako mkuu, uko juu. Walahi mkuu unaweza kualikwa kunywa gahawa/chai na malkia aisee

Naam, Stan Katabaro aliibua kashfa ya Loliondo "Loliondogate" wkt wa uwaziri wa Abubakari Mgumia, wakammwaga damu!
Hajapatikana tena wa namna yake hadi sasa.
 
Amesahaulika hapo Steven Kibona, aliekuwa Waziri wa Fedha wkt Rutihinda akiwa gavana benki kuu.
Hawa walikufa kwa kufuatana.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom